Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Watumishi wa umma hasa viongozi wakuu wa taasisi na mashirika ya umma wamesafiri kutoka Dodoma na mikoa mingine kwenda Zanzibar .
Wasanii na waandishi wa habari wamekusanyika Zanzibar
Vikundi vya ngoma na wananchi mbalimbali hasa wanaccm wapo wapo Zanzibar
Je, gharama hizi zinalipwa na kodi za wananchi au kuna wafadhili wanagharamia?
JPM alifanya haya Chato na SSH anafanya haya Zanzibar , kuna sustainability? Kiuchumi Taifa linanufaikaje na Matamasha haya? Je, yapo kwenye ilani ya chama tawala? Yapo kwenye mpango wa Taifa? Nani anakwenda kupima kufaulu na kufeli kwa miradi kama hii?