Unajua inakua ngumu kutabiri kutokana na namna ambavyo watu wamejizatiti kuchukua ubingwa hata kwa kukiuka miiko.
Mechi ya yanga kupoteza ilikua ni ile aliyocheza na Namungo ila kwakua wameweka nguvu nje ya uwanja unakuta inakuwa rahisi kwao kutofungwa.
Na bora wangeishia kujipambania wao lakini wana diriki hadi kuhonga timu pinzani zinazocheza na simba ilimradi tu kumdidimiza simba kwasababu ndio club inayowatishia kwenye kunyakua ubingwa.
Huu ushabiki ulionao unaweza hata ua nduguyo ili Simba ashinde. Kemea hii roho chafu kwa jina la Yesu Kristo.Unajua inakua ngumu kutabiri kutokana na namna ambavyo watu wamejizatiti kuchukua ubingwa hata kwa kukiuka miiko.
Mechi ya yanga kupoteza ilikua ni ile aliyocheza na Namungo ila kwakua wameweka nguvu nje ya uwanja unakuta inakuwa rahisi kwao kutofungwa.
Na bora wangeishia kujipambania wao lakini wana diriki hadi kuhonga timu pinzani zinazocheza na simba ilimradi tu kumdidimiza simba kwasababu ndio club inayowatishia kwenye kunyakua ubingwa.
Tukiacha unazi Top four itakavyokuwa.. Mpka mwisho wa msimu.Tukiacha unazi top four itakuwa hivi
1. Simba
2.Yanga
3.Mbeya City
4.Dodoma Jiji
Ligi ina mechi 30. Tuvute subira.Tukiacha unazi Top four itakavyokuwa.. Mpka mwisho wa msimu.
1:yanga
2. Polisi
3:azam.
14.Simba.
Kuna watu wataharisha kwa kusoma post yakoDaaah! Yani watu wameanzisha uzi kwa ajili ya kuulizana Yanga atafungwa na timu ipi?
Hii Yanga ya sasa ni ngumu sana kupoteza points kizembe hivyo, tena na hili dirisha dogo la usajili kuna vyuma vinakuja kuongeza nguvu kwenye kikosi
Fans wa Chelsea wakiongeaga km hivi kabla ya kucheza na United, waulize sasa hv uone watakujibu niniDaaah! Yani watu wameanzisha uzi kwa ajili ya kuulizana Yanga atafungwa na timu ipi?
Hii Yanga ya sasa ni ngumu sana kupoteza points kizembe hivyo, tena na hili dirisha dogo la usajili kuna vyuma vinakuja kuongeza nguvu kwenye kikosi
Cheki huyu nayeTukiacha unazi Top four itakavyokuwa.. Mpka mwisho wa msimu.
1:yanga
2. Polisi
3:azam.
14.Simba.
Mbona wanayanga mmeniandama sana, hivi uananchi gani ambao nyinyi mnajinadi kuwa nao?Huu ushabiki ulionao unaweza hata ua nduguyo ili Simba ashinde. Kemea hii roho chafu kwa jina la Yesu Kristo.
Aya sawaFans wa Chelsea wakiongeaga km hivi kabla ya kucheza na United, waulize sasa hv uone watakujibu nini
Aya sawa kila la kheri kwenye nafasi yenu ya 14Cheki huyu naye
Umesahau mechi ya Simba na Geita Gold?Unajua inakua ngumu kutabiri kutokana na namna ambavyo watu wamejizatiti kuchukua ubingwa hata kwa kukiuka miiko.