Unadhani watani watadondosha point kwa timu zipi?

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Wakuu ligi imekuwa ngumu,Obvious inajulikana Bingwa atakuwa Simba au Yanga.

Ili moja akutwe au aachwe zaidi kwenye msimamo unategemea atapoteza point kwa timu ipi ?
 
Unajua inakua ngumu kutabiri kutokana na namna ambavyo watu wamejizatiti kuchukua ubingwa hata kwa kukiuka miiko.

Mechi ya yanga kupoteza ilikua ni ile aliyocheza na Namungo ila kwakua wameweka nguvu nje ya uwanja unakuta inakuwa rahisi kwao kutofungwa.

Na bora wangeishia kujipambania wao lakini wana diriki hadi kuhonga timu pinzani zinazocheza na simba ilimradi tu kumdidimiza simba kwasababu ndio club inayowatishia kwenye kunyakua ubingwa.
 
Duh kweli wewe kolo
 
Timu yoyote ile ambayo itacheza karata zake vizuri hasa nyuma na katikati.
 
Mpaka sasa mechi aliyopaswa kupoteza yanga ni Ile na namungo fc lakini bahati iliyoje muamala ulisoma kwa wakati, ile meseji ya "imethibitishwa" ilionekana kwa wakati na refa akafunika, tushukuru kwa hilo lasivyo lilikua linakufa jitu siku ile.
 
Unajua inakua ngumu kutabiri kutokana na namna ambavyo watu wamejizatiti kuchukua ubingwa hata kwa kukiuka miiko.

Mechi ya yanga kupoteza ilikua ni ile aliyocheza na Namungo ila kwakua wameweka nguvu nje ya uwanja unakuta inakuwa rahisi kwao kutofungwa.

Na bora wangeishia kujipambania wao lakini wana diriki hadi kuhonga timu pinzani zinazocheza na simba ilimradi tu kumdidimiza simba kwasababu ndio club inayowatishia kwenye kunyakua ubingwa.
Huu ushabiki ulionao unaweza hata ua nduguyo ili Simba ashinde. Kemea hii roho chafu kwa jina la Yesu Kristo.
 
Daaah! Yani watu wameanzisha uzi kwa ajili ya kuulizana Yanga atafungwa na timu ipi?

Hii Yanga ya sasa ni ngumu sana kupoteza points kizembe hivyo, tena na hili dirisha dogo la usajili kuna vyuma vinakuja kuongeza nguvu kwenye kikosi
Kuna watu wataharisha kwa kusoma post yako
 
Daaah! Yani watu wameanzisha uzi kwa ajili ya kuulizana Yanga atafungwa na timu ipi?

Hii Yanga ya sasa ni ngumu sana kupoteza points kizembe hivyo, tena na hili dirisha dogo la usajili kuna vyuma vinakuja kuongeza nguvu kwenye kikosi
Fans wa Chelsea wakiongeaga km hivi kabla ya kucheza na United, waulize sasa hv uone watakujibu nini
 
Huu ushabiki ulionao unaweza hata ua nduguyo ili Simba ashinde. Kemea hii roho chafu kwa jina la Yesu Kristo.
Mbona wanayanga mmeniandama sana, hivi uananchi gani ambao nyinyi mnajinadi kuwa nao?

Uananchi bila uzalendo ni kazi bure
 
Unajua inakua ngumu kutabiri kutokana na namna ambavyo watu wamejizatiti kuchukua ubingwa hata kwa kukiuka miiko.

Mechi ya yanga kupoteza ilikua ni ile aliyocheza na Namungo ila kwakua wameweka nguvu nje ya uwanja unakuta inakuwa rahisi kwao kutofungwa.

Na bora wangeishia kujipambania wao lakini wana diriki hadi kuhonga timu pinzani zinazocheza na simba ilimradi tu kumdidimiza simba kwasababu ndio club inayowatishia kwenye kunyakua ubingwa.
Umesahau mechi ya Simba na Geita Gold?
 
Back
Top Bottom