Unadhani watani watadondosha point kwa timu zipi?

Siwezi Kusoma Hilo Gazeti Lako La Kikolo, ila Nachokwambia Tu YANGA NI BINGWA NBC PREMIER LEAGUE 2021-2022, Kama Unabisha Time Will Tell..
 
Endelea kukariri
 
Siwezi Kusoma Hilo Gazeti Lako La Kikolo, ila Nachokwambia Tu YANGA NI BINGWA NBC PREMIER LEAGUE 2021-2022, Kama Unabisha Time Will Tell..
Sawa Mungu
 
Kabakia Mbeya city na mtibwa kukamilisha mzunguko wa kwanza
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Top four itakavyokuwa.. Mpka mwisho wa msimu.
1:yanga
2. Polisi
3:azam.




14.Simba.
Msenge kweli Simba ipi ya kuwa namba 14?unapojaribu kupotosha tumia akili kidogo mkuu.
 
Tukiacha unazi top four itakuwa

1. Simba
2.Yanga
3.Mbeya City
4.Dodoma Jiji
[emoji445]Habari za saa hizi, kwanza nakusalimia. Vipi hii sare ya Idd imependeza au fundi kaishona vibaya [emoji445]
 
Yanga amenunua mechi zote ispokuwa Simba na Azam. tusubiri kama walionunuliwa watakiuka maelekezo
Sasa huyo ambaye hajanunuliwa kapigwa kwake na away.

Na huyo mwingine hajamfunga Yanga home and away.

Hapo vipi? Au kuna mwingine wa kumzuia Yanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…