Unadhani watani watadondosha point kwa timu zipi?

Unadhani watani watadondosha point kwa timu zipi?

Haya maneno ndio yanawafanya kila msimu muangukie pua, mpira hauchezwi mdomon ,alafu wewe sie unaecheza uwanjan Zaid Ni kelele tu.
Timu yoyote inaweza kuwa bingwa usijiamini Sana kuwa Yanga Ni Bingwa huu msimu ,vile vile Simba wasijiamin kuwa watakua mabingwa.

Ni Ajabu Sana shabik unaweka ulazima kuwa lazima iwe ,ndio nyie mnajiua au kufa kwa pressure za kujitakia kisa kuamin Sana Jambo fulani.

Mpira Ni dakika tisin tu na mahesab mwisho wa msimu ,kuongoza kwa muda lig isikufanye ujione umemaliza .
Nenda Epl Chelsea nao walikua na Tambo Kama hiz hiz saiz anaachwa point sita na man city mtaan kumepoa balaaa.
Arsenal alikua nafasi ya kumi saiz anacheza nafas ya nne .

Mpira hauko Ivo ,unapanga hili uwanjan linatokea hili,wale wachezaj sio majin Ni watu Kuna muda watafanya makosa na kuadhibiwa pia Kuna muda watakua fit.

Tambo Kama hiz zinafaa Sana pale ligi ikiwa angalau imebaki mech tano tano alafu mpinzan wako ukiwa umemwacha walau point hata 7, lakin michezo nane tu Kati ya 32 ndio uje kijiaminisha kias hiki kweli!!!

Mimi najipa muda Kwanza bingwa ataanza kuonekana walau mzunguko wa pil katikat huko yaan zikiwa zimepigwa hata mechi 25 huko hapo angalau tutaanza kuona dalili lakin kwasasa bado Sana kutamba Sana kias hicho maana yoyote anaweza kuwa bingwa na mechi zinaruhusu kwa idad kwa kila timu.
Siwezi Kusoma Hilo Gazeti Lako La Kikolo, ila Nachokwambia Tu YANGA NI BINGWA NBC PREMIER LEAGUE 2021-2022, Kama Unabisha Time Will Tell..
 
Mimi ninachowapendea yanga Ni watu wa kujiamin Sana hasa mwanzo wa ligi ,wataongea kila neno kwamba hakuna wa kuwazuia.
Katikati ya msimu wakizidiwa point hata moja tu na Simba wanahamisha topic na mashambuliz yanahamia rasmi kwa karia na tff[emoji23][emoji23] Wana yanga Ni sawa na fans wa Chelsea wa msimu huu.

Siwabez Coz Yanga msimu huu Wana kikosi kizuri japo kipo finyu Sana ,wakat Simba Wana kikosi kipana lakin kisicho na wachezaji wakutisha Kama yanga.

Karata IPO hapa Nan anaweza beba ndoo Ni kwenye hili dirisha dogo , Yanga wakiongeza watu wa maana na kuproon wasio na umuhimu ili kuongeza rotation ya wachezaj ubingwa utanukia kwao lakin Kama wataendelea kuwategemea aucho ,bangala ,fei na moloko bac wanaweza kata upepo huko mbelen , Kwa upande wa Simba ili watetee ubingwa wao wanapaswa waproon wachezaj Kama watatu au wanne wa kimataifa na kuleta wenye makali kuliko hao watakaondoka maana kwasasa pale Simba hakuna mchezaj wa kuamua game ngumu wote wanabahatisha tu yaan kiwango Chao Ni average Sana , wasipofanya Ivo Sion ubingwa kwao mwaka huu.
Conclusion :Simba na yanga yoyote anaweza kuwa bingwa huu msimu .
Endelea kukariri
 
Kabakia Mbeya city na mtibwa kukamilisha mzunguko wa kwanza
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tukiacha unazi top four itakuwa

1. Simba
2.Yanga
3.Mbeya City
4.Dodoma Jiji
[emoji445]Habari za saa hizi, kwanza nakusalimia. Vipi hii sare ya Idd imependeza au fundi kaishona vibaya [emoji445]
 
Yanga anatoa droo na mbeya city kisha anapigwa na polisi Tanzania

Ny.jpeg
 
Yanga amenunua mechi zote ispokuwa Simba na Azam. tusubiri kama walionunuliwa watakiuka maelekezo
Sasa huyo ambaye hajanunuliwa kapigwa kwake na away.

Na huyo mwingine hajamfunga Yanga home and away.

Hapo vipi? Au kuna mwingine wa kumzuia Yanga?
 
Back
Top Bottom