MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Na tutafika mbinguni tumechoka sanaTanzania Nchi Ngumu Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tutafika mbinguni tumechoka sanaTanzania Nchi Ngumu Sana
Wauza mitumba !? [emoji38] Wamefanyaje
Ohoooo [emoji3064] something wrong here! Anyways let it gosoma uzi badala ya kukurupukia comments
Wauza mitumba wamepigwa na kitu kizito 🤣😂😂😂😂😂😂😂maskini wauza mitumba daah
Nashangaa mpaka sasa hujanifata Pm au unaleta mzaha nn??Kama una huitaji na mke bado nipo
Vigezo
Miaka 30-35
Dini yoyote
Mrefu kiasi (maji ya kunde au mweupe)
Umbo la kati sio mnene Wala mwemba
Mtoto asizidi mmoja
Asiwe ameachika
Awe anapenda tendo la ndoa Sana ( mbo ya kushiba awe nayo)
Awe na mahaba sio kuongea kama muuza mitumba
Mtafutaji pia ,sio mzembe mzembe
Mengine tutaongea pm
HaaNa tutafika mbinguni tumechoka sana
Hiki kizazi kigumu ,wewe Kwa uandishi wako ni mwanaume ,Sasa umewaza nini mpaka uandike huu upuuziKama una huitaji na mke bado nipo
Vigezo
Miaka 30-35
Dini yoyote
Mrefu kiasi (maji ya kunde au mweupe)
Umbo la kati sio mnene Wala mwemba
Mtoto asizidi mmoja
Asiwe ameachika
Awe anapenda tendo la ndoa Sana ( mashine ya kushiba awe nayo)
Awe na mahaba sio kuongea kama muuza mitumba
Mtafutaji pia ,sio mzembe mzembe
Mengine tutaongea pm
Noma sanamasikini kila kukicha vijana wetu tunazidi kuwapoteza, wanageuka kuwa wadada, jamani kizazi hiki
Vipi limejibiwa?🤣Swali la muhimu hilo
dume hili
Yaani uandishi wake hauhitaji mtu awe na akili nyingi kugundua jinsia yake siyo ya kike!Hatari kweli aliposema Asiwe ameachika sasa mwanaume ana achika?