Unaelewa nini hapa?

Unaelewa nini hapa?

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,956
Reaction score
5,149
Soma kwa makini maneno yafuatayo kisha uniambie umeelewa nini,jaribu kutafakari polepole bila haraka.

Aibu,Maradhi,Umaskini,Kifo.

Mshindi atapata zawadi nono.
 
Soma kwa makini maneno yafuatayo kisha uniambie umeelewa nini,jaribu kutafakari polepole bila haraka.

Aibu,Maradhi,Umaskini,Kifo.

Mshindi atapata zawadi nono.

haina ban hii kitu?
 
Thithiemu, thithiemu, thithiemu, thithiemu!!! tumekwisha tumezikwa, tunaoza, tunanuka kwa ajili ya watu wachache!!
 
Aibu- ni jinsi walio wengi wanaona haya kuzungumza kuhusu Janga linalokatishia kufuta ndoto za wengi
Maradhi-ni matokeo ya kutokua wazi na wakweli kwa kuonea Aibu janga hili.
Umaskini-Utachangiwa kwa gharama za kupambana na maradhi yaliyosababishwa na kutokua wazi kwa kuona aibu ilihali Kifo ni Mwisho wa filamu na mwanzo wa nyingine!:whoo:

Mh!tupe majibu yake basi au umesahau majibu yake!
 
hahaha!!!! Soma Hizo Capital Letters Peke Yake Kinyume nyume,Anza Hivi kweye Kifo pick letter K,kwenye umaskini pick letter U,kwenye Maradhi pick letter M,na Kwenye Aibu pick letter A nimemaliza!!!!
 
Tehe tehe tehe tehe yaani mdau kweli we noma yaani umemuacha mdau wangu Izack Tesha mchaga wangu huyu katunga insha ya jibu la swali lako kusudi umpe zawadi ya X-mas kumbe jibu lenyewe la kigoroko,duh kweli we Rural Swagga we ni noma bana.
 
Dah Maskini Tesha pole sana mekuuu,tutakupitia baadaye mm na mdau Mkuu twende kupata mbege huku ukitufundisha kuandika Insha
 
Back
Top Bottom