Unaelewa nini kuhusu Land Rover freelander 2?

Unaelewa nini kuhusu Land Rover freelander 2?

Ushauri wangu nenda na Mazda CX-5 kuanzia 2012

TRA wameshusha ushuru sahiv ni 11 mil tu ukijumlisha C&F gari mpaka mkononi ni around 24-27mil.

ni gari nzuri sana mwonekano wa kisasa ni gari yenye skyactive technology ambayo itakupa good fuel consumption 18km/L

Hizi watu watakuja kushtuka muda sio mrefu zitaagizwa nyingi sana kama kenya na ndo atakuwa mrithi wa Dualis kwa bongo hivo spare zitapatikana kwa wingi

Ee bana Kenya mazda CX-5 ni nyingi aagize hiyo chombo hatojuta
 
apaki gari wiki nzima akisubiri spare kutoka Germany[emoji28][emoji28][emoji28]

ikifika hapa tena aambiwe haifiti mahala husika[emoji3062][emoji3062][emoji3062]

Research muhimu kabla ya kulipuka

Acha uoga ww spare kitu gani
 
Wakuu baada ya kudumu na HARRIER kwa muda nimepatwa na hamu ya kubadilisha gari. Nilitamani ALPHARD, XTRAIR au DUALIS.

Kuna jamaa yangu kanishauri kwamba huko nikama kurudi hatua moja nyuma. Anasema kama nimeamua kubadilisha gari basi ni upgrade nichukue LANDROVER FREELANDER 2.

Naombeni muongozo kuhusu gari hili kwa hali zetu za wasakatonge linatufaa?. How about price, mafuta, spare na uimara wake kwa barabara za bongo.

Ye anasema eti ni around km 25-28 mpaka linafika mikononi pamoja na ushuru, akasema ni wastani wa lita moja km9.

Naombeni maoni serious mana natakiwa kuagiza gari ndani ya mwezi huu.

Natanguliza samahani kwa usumbufu.
Kwa hiyo bei, sidhani kama landrover ni bei nafuu kiasi hicho, inaweza ikawa kuanzia mara mbili ya hicho ulichoandika.
 
Back
Top Bottom