julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Nashangaa sana mtu agari yake Auto ila mkono hautoki kwenye gear handle ile,sasa kama una mzuka si uilipue uchkue kaz kazin manual, haya ma mazda cx5 yapo manual,honda fit anazo manual hybrid,probox anazo,toyota rush manual ipo, strlalet zipo. Manual ndio gari na ndio mana landcruiser zote za maana lazima uikute manual.