julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
- Thread starter
- #21
Umeongea kwa hisia sana,pyee pyee endelea kuongoza gar sio kuendesha gari. Kwa hio unataka kusema nikitoka bunju mpaka posta lazima nitakuwa mkono ushabadilisha badilisha sana kutoka D kuja N mara D2 au sio? Kujipa tu kazi isokuwepo. Auto imewekwa kukutafunia kila kitu.wewe ongoza tu nyoosha steling.gari umeipata ukubwani lu a wenzako wamezaliwa nazo,genaration zote kuna watu wamezikuta kwa wazee wao mpaka wao wanamiliki.Hakuona gia zingine kwenye gari ya automatic kaona D tu ya Drive bwege huyo kaletewa Driving license ya kuhonga Traffic huyo hajui automatic car Ina gia zingine zaidi ya hiyo D ya drive na hajui matumizi yake atakuja Kufa huyo Kuna sehemu Lazima uhame gia ya D ya Drive uingie gia zingine nafikiri huyo bwege automatic car anachojua ni gia ya D ya drive na reverse tu mpumbavu mkubwa huyo