Unaendesha Auto transmission mkono wa nini kwenye gear lever si utafute Manual

Umeongea kwa hisia sana,pyee pyee endelea kuongoza gar sio kuendesha gari. Kwa hio unataka kusema nikitoka bunju mpaka posta lazima nitakuwa mkono ushabadilisha badilisha sana kutoka D kuja N mara D2 au sio? Kujipa tu kazi isokuwepo. Auto imewekwa kukutafunia kila kitu.wewe ongoza tu nyoosha steling.gari umeipata ukubwani lu a wenzako wamezaliwa nazo,genaration zote kuna watu wamezikuta kwa wazee wao mpaka wao wanamiliki.
 
Hujui vitu ila una confidence.


View: https://youtu.be/ySH3Z7abI44?si=arvG7CSJMCQfPjwN
 
Kwa sasa magari ya manual ndio yanaekea ukingoni.Tujiswitch tu kwenye automatic
 
Sawa mtaalamu.nitaweka manual mode kwenye paso yangu au ist au spacio au kluger au vits au forester au hahaha.itabidi paddle shifters ziweze kuonekana.
 
Na mimi niko hivyo hivyo. Gear lever inakuwa kama arm rest tu.


Yaani wakati nasoma maelezo ya mtoa mada, nikajisemea Baba Bataringaya asipotokea kwenye huu uzi, basi hobi ya magari imemuisha....😅😅😅

Ila kwa wanaume wengine mkono ukipumzika kwenye hicho kirungu, wanapelekeaga akili mahala pengine....😁😁😁🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
 
Tambo za kitoto ulizotamba Inategenea Hali ya barabara huwezi endeshea gia D kwenye barabara yenye Hali tofauti

Kuzaliwa kwenye magari Bado hakujajufanya uelewe uendeshaji gari automatic Bado sana wewe
 
Hiyo Manual ukiwa unaendesha baaya ka ku-change gear ndio hutakiwi kabisa kuweka mkono wako kwenye gear handle, maana kitaalamu unaathiri ufanyaji kazi wa gearbox kama mkono utakandamizi hiyo gear knob. Sasa ushauri wako wa ovyo. Watafute gari zenye hand rest ndio wata enjoy.
 
Na mimi niko hivyo hivyo. Gear lever inakuwa kama arm rest tu.
Sawa hata mimi huwa nafanya hivyo, muda mwingine, tena sioni sababu mtu kuanzisha mada hapa, madhari dereva mwenyewe anajua anachofanya kuna shida gani.
 
Sipendi manual cars , burden ya kuchange gears ,kwangu naona ni upuuzi na kujichosha
 
Ulaya kwenye bado gari nyingi ni manual...
Kwanza mtu asiyejuwa kutumia manual huwa namuonaga bado hajuwi gari

Ova
Mi najua kudrive manual ila sipendi ile kero ya kufukuzana na kuchange gear, inakera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…