Bado mda asubilie mpaka miez mitatu ndiyo atajijuwa kama ni + au -Kichwa cha habari chajieleza, kuna jamaa yetu apa ofisini juzi kati kama wiki tatu hivi zmepita kamgegeda mwanamke muathrika, sasa ameenda kupima kaambiwa yu salama, sasa hivi ni kweli eti anaeza kutoka salama?
Baaada ya miezi mitatu...hahaha anachokitafuta atakipataKama alifanya wakati mdada kaloa vizuri basi ana chance ya kua salama!
Ila asikiamini sana hicho kipimo cha kwanza... Asubiri akapime tena
Siku hizi sio lazima mienzi yote hiyo. Kuna vipimo express. Siku 3 majibu yataonyesha.Bado mda asubilie mpaka miez mitatu ndiyo atajijuwa kama ni + au -
Sema akiona ndani ya mwez na nusu au miez miwili amepoteza uzto wake kwa 10% ujue hapo kuna dalili za yeye kuwa +
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baaada ya miezi mitatu...hahaha anachokitafuta atakipata
Presha ya kupima VVU SIO MCHEZO OHOOO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ndo nishaendaga kama mara mbili hivi na kupiga U-turn mlangoni [emoji41][emoji41][emoji41]Presha ya kupima VVU SIO MCHEZO OHOOO