Unaeza fanya mapenzi na mtu mwenye V.V.U ukatoka salama?

Unaeza fanya mapenzi na mtu mwenye V.V.U ukatoka salama?

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,364
Reaction score
4,612
Kichwa cha habari chajieleza, kuna jamaa yetu apa ofisini juzi kati kama wiki tatu hivi zmepita ifanya mapenzi na mwanamke muathrika, sasa ameenda kupima kaambiwa yu salama, sasa hivi ni kweli eti anaeza kutoka salama?
 
Kichwa cha habari chajieleza, kuna jamaa yetu apa ofisini juzi kati kama wiki tatu hivi zmepita kamgegeda mwanamke muathrika, sasa ameenda kupima kaambiwa yu salama, sasa hivi ni kweli eti anaeza kutoka salama?
Bado mda asubilie mpaka miez mitatu ndiyo atajijuwa kama ni + au -
Sema akiona ndani ya mwez na nusu au miez miwili amepoteza uzto wake kwa 10% ujue hapo kuna dalili za yeye kuwa +
 
Bado mda asubilie mpaka miez mitatu ndiyo atajijuwa kama ni + au -
Sema akiona ndani ya mwez na nusu au miez miwili amepoteza uzto wake kwa 10% ujue hapo kuna dalili za yeye kuwa +
Siku hizi sio lazima mienzi yote hiyo. Kuna vipimo express. Siku 3 majibu yataonyesha.
 
Arudi kupima tena after 3 months,though im strongly conviced wewe ndo huyo jamaa wa ofisini.Kapime tena after three months ,pia ulitakiwa baada ya masaa 72 ungeanza dozi ile ya kuzuia maambukizi kama umefanya ngono kwenye mazingira hatarishi
 
Back
Top Bottom