Unaeza fanya mapenzi na mtu mwenye V.V.U ukatoka salama?

Bado mda asubilie mpaka miez mitatu ndiyo atajijuwa kama ni + au -
Sema akiona ndani ya mwez na nusu au miez miwili amepoteza uzto wake kwa 10% ujue hapo kuna dalili za yeye kuwa +
Kuna sababu nyingi sana za kupoteza uzito...siyo maambukizi ya ukimwi tu
 
Inategemeana na kesi , kama huyo ilo halikwepeki maana immunity yake itakuwa dhaifu siku hadi siku
Hatokuwa sawa na yule anaye jipunguza unene na uzito
 
Daaaah nikisikiaga hizi mada za Ukimwi sijui kwenda kupima huwa nakosa amani kabisa...njia nilizopita huko nyuma tena bila ndom nikienda kupima sikosi isee....bora nijikalie tu hadi hapo nitakapoanza kukonda
 
Bado mda asubilie mpaka miez mitatu ndiyo atajijuwa kama ni + au -
Sema akiona ndani ya mwez na nusu au miez miwili amepoteza uzto wake kwa 10% ujue hapo kuna dalili za yeye kuwa +
Inategemea ametumia kipimo gan. Kuna vipomo vingine wiki tu kma umeambukizwa VVU vinaonekana
 
Ukimwi Ni Upungufu Wa kinga Mwilini (UKIMWI)....

Sasa wewe MTU Mwenye Upungufu wa kinga mwilini ukijamiana nae atakuathiri nini!!!... Vitu vingine tuwe tunatumia akili za asili na sio kutawaliwa na Mawazo ya wenye viwanda vya madawa duniani .....

Ukimwi Upo Tangu Enzi Za wakina Yesu sasa wewe unaogopa nini.... Kila binadamu ana ukimwi .. Teja wa madawa ya kulevya Ana Ukimwi Kwa kiasi kikubwa kwa sababu Madawa ya kulevya hudhoofisha sana Kinga Mwili.

MTU asiekula lishe nzuri hata kama ni mtoto mdogo Ukimwi kama kinga za Mwili huwa ni chini kwa kiasi kikubwa.

Sasa mtoto ambae Kinga zake za Mwili zipo chini kwa kukosa lishe yani Mwenye Upungufu wa kinga mwilini (UKIMWI) ukiwekewa damu yake itakuathiri nini!!!!!

Ubaya ni kwamba huu ugonjwa ni ugonjwa usiokuwepo Bali wamefanikiwa kuujengea Picha vichwani mwetu kwa sababu zao za kibiashara...

Kuna Tofauti ya Virusi Vinavyosabavisha ukimwi ( V.V.U) na Upungufu Wa kinga Mwilini (UKIMWI)..... Ukimwi kila MTU anao ila hakuna VVU .... So enjoy your life acha kuumiza kichwa chako kwa vitu visivyokuwepo
Hahahahahha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Mkuu, Ukija kuupata nadhani utajutia haya maneno[emoji134]

Sijui umeyapata wapi haya!!
 
Daaaah nikisikiaga hizi mada za Ukimwi sijui kwenda kupima huwa nakosa amani kabisa...njia nilizopita huko nyuma tena bila ndom nikienda kupima sikosi isee....bora nijikalie tu hadi hapo nitakapoanza kukonda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] mpaka pale utapoanza kukonda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]

Mimi nahisi nitapima ngoma sio muda mrefu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] , japo sio kwa hiari yangu, Mamaaaweeee[emoji134] [emoji24] Mungu anijaalie Visiwepo Mwilini.
 
HAHAHAHAHAHAHA,pole sana.
 
Mkuu acha kabisa yaan.
 
Inategemea ukali wa mechi na maandalizi uloyafanya kwa mpenzi wako. Kuna uzi humu unaeleza vizuri acha uvivu google upate majibu zaidi.
 
Ukimwi Ni Upungufu Wa kinga Mwilini (UKIMWI)....

Sasa wewe MTU Mwenye Upungufu wa kinga mwilini ukijamiana nae atakuathiri nini!!!... Vitu vingine tuwe tunatumia akili za asili na sio kutawaliwa na Mawazo ya wenye viwanda vya madawa duniani .....

Ukimwi Upo Tangu Enzi Za wakina Yesu sasa wewe unaogopa nini.... Kila binadamu ana ukimwi .. Teja wa madawa ya kulevya Ana Ukimwi Kwa kiasi kikubwa kwa sababu Madawa ya kulevya hudhoofisha sana Kinga Mwili.

MTU asiekula lishe nzuri hata kama ni mtoto mdogo Ukimwi kama kinga za Mwili huwa ni chini kwa kiasi kikubwa.

Sasa mtoto ambae Kinga zake za Mwili zipo chini kwa kukosa lishe yani Mwenye Upungufu wa kinga mwilini (UKIMWI) ukiwekewa damu yake itakuathiri nini!!!!!

Ubaya ni kwamba huu ugonjwa ni ugonjwa usiokuwepo Bali wamefanikiwa kuujengea Picha vichwani mwetu kwa sababu zao za kibiashara...

Kuna Tofauti ya Virusi Vinavyosabavisha ukimwi ( V.V.U) na Upungufu Wa kinga Mwilini (UKIMWI)..... Ukimwi kila MTU anao ila hakuna VVU .... So enjoy your life acha kuumiza kichwa chako kwa vitu visivyokuwepo

Dar Wood
 
Back
Top Bottom