Kuna sababu nyingi sana za kupoteza uzito...siyo maambukizi ya ukimwi tuBado mda asubilie mpaka miez mitatu ndiyo atajijuwa kama ni + au -
Sema akiona ndani ya mwez na nusu au miez miwili amepoteza uzto wake kwa 10% ujue hapo kuna dalili za yeye kuwa +
Inategemeana na kesi , kama huyo ilo halikwepeki maana immunity yake itakuwa dhaifu siku hadi sikuKuna sababu nyingi sana za kupoteza uzito...siyo maambukizi ya ukimwi tu
Hahaha!watu wanatomb.a kwa sifa mpaka tigo wanakula hahaaas
hakunaga kusubiri ulowe[emoji3][emoji3]
Inategemea ametumia kipimo gan. Kuna vipomo vingine wiki tu kma umeambukizwa VVU vinaonekanaBado mda asubilie mpaka miez mitatu ndiyo atajijuwa kama ni + au -
Sema akiona ndani ya mwez na nusu au miez miwili amepoteza uzto wake kwa 10% ujue hapo kuna dalili za yeye kuwa +
Ebu nipe jina la hiko kipimo mm cjakiona hiko hiko cha uhakika namna hivyoInategemea ametumia kipimo gan. Kuna vipomo vingine wiki tu kma umeambukizwa VVU vinaonekana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] alikimbia majibuDuuh! Ata hiyo PEP hukuchukua? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Mkuu, Ukija kuupata nadhani utajutia haya maneno[emoji134]Ukimwi Ni Upungufu Wa kinga Mwilini (UKIMWI)....
Sasa wewe MTU Mwenye Upungufu wa kinga mwilini ukijamiana nae atakuathiri nini!!!... Vitu vingine tuwe tunatumia akili za asili na sio kutawaliwa na Mawazo ya wenye viwanda vya madawa duniani .....
Ukimwi Upo Tangu Enzi Za wakina Yesu sasa wewe unaogopa nini.... Kila binadamu ana ukimwi .. Teja wa madawa ya kulevya Ana Ukimwi Kwa kiasi kikubwa kwa sababu Madawa ya kulevya hudhoofisha sana Kinga Mwili.
MTU asiekula lishe nzuri hata kama ni mtoto mdogo Ukimwi kama kinga za Mwili huwa ni chini kwa kiasi kikubwa.
Sasa mtoto ambae Kinga zake za Mwili zipo chini kwa kukosa lishe yani Mwenye Upungufu wa kinga mwilini (UKIMWI) ukiwekewa damu yake itakuathiri nini!!!!!
Ubaya ni kwamba huu ugonjwa ni ugonjwa usiokuwepo Bali wamefanikiwa kuujengea Picha vichwani mwetu kwa sababu zao za kibiashara...
Kuna Tofauti ya Virusi Vinavyosabavisha ukimwi ( V.V.U) na Upungufu Wa kinga Mwilini (UKIMWI)..... Ukimwi kila MTU anao ila hakuna VVU .... So enjoy your life acha kuumiza kichwa chako kwa vitu visivyokuwepo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] mpaka pale utapoanza kukonda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Daaaah nikisikiaga hizi mada za Ukimwi sijui kwenda kupima huwa nakosa amani kabisa...njia nilizopita huko nyuma tena bila ndom nikienda kupima sikosi isee....bora nijikalie tu hadi hapo nitakapoanza kukonda
HAHAHAHAHAHAHA,pole sana.Daaaah nikisikiaga hizi mada za Ukimwi sijui kwenda kupima huwa nakosa amani kabisa...njia nilizopita huko nyuma tena bila ndom nikienda kupima sikosi isee....bora nijikalie tu hadi hapo nitakapoanza kukonda
Mkuu acha kabisa yaan.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] mpaka pale utapoanza kukonda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Mimi nahisi nitapima ngoma sio muda mrefu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] , japo sio kwa hiari yangu, Mamaaaweeee[emoji134] [emoji24] Mungu anijaalie Visiwepo Mwilini.
Asante sana mkuu...yaaan siku nikishukiwa na upako nikipima alafu nikiwa clean, sirudii tena makosa na upuuzi niliofanya huko nyuma.HAHAHAHAHAHAHA,pole sana.
Je kwa sasa bado unafanya hayo makosa?Asante sana mkuu...yaaan siku nikishukiwa na upako nikipima alafu nikiwa clean, sirudii tena makosa na upuuzi niliofanya huko nyuma.
Ndio.
Ukimwi Ni Upungufu Wa kinga Mwilini (UKIMWI)....