TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Utter nonsense. Uwakilishi wa asilimia 21 kwa sehemu ambayo hata ukubwa wake haufikii wa mkoa mdogo kama Kilimanjaor? Acheni utegemezi mjenge nchi na kuachana na ujinga na upuuzi wa haki zisizokuwapo wala kustahili.HaBari Wakurugenzi..!
Kuna mambo ya Muungano wengi wetu tulikuwa hatujafundishwa shuleni lakini kitaa sasa ndio tunajifundisha.
Mfano hili la ajira zinazotolewa na JMT wazanzibar wanatakiwa kupata mgawo wa asilimia 21 na serikali ya Zanzibar inaandaa kanzu data na kuhakikisha wale wanaohitimu vyuo wanaajiriwa JMT.
Kiukweli kuna raha sana kuwa mzanzibar yaani ukatae wewe tu shule ajira nje nje awamu hii ya mzee Mwinyi.
Hapana.. Kote![emoji848][emoji848][emoji848][emoji2815][emoji2815][emoji2815]Ni kwa kila idara au zile zinazohusu Muungano pekee?
Hivi huo ni9 uiano wa namna gani? Zanzibar hata wakipewa 10% ni sawa. Fanya hesabu mwenyewe. Zanzibar ina 2% ya watu wa TZ, sasa waso watapataje 21% ya ajira?Ndio idara ya polisi wamejaa sana
Na kule kwao asilimia ngapi ya watanganyika wanatakiwa kuajiriwa? Vinginevyo wabakie hukohuko haya mambo ya kubebena bebana yametuchoshaMfano hili la ajira zinazotolewa na JMT wazanzibar wanatakiwa kupata mgawo wa asilimia 21 na serikali ya Zanzibar inaandaa kanzu data na kuhakikisha wale wanaohitimu vyuo wanaajiriwa JMT.
halafu wabishi aisee..Kufanya kaz na wazenji ni mtihan mgumu Sana wanapenda kulamikalalamika sana aaah
Eid MubarakKufanya kaz na wazenji ni mtihan mgumu Sana wanapenda kulamikalalamika sana aaah
Vilevile ni wavivu balaahalafu wabishi aisee..