TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,251
- 2,030
Wakikujibu nishtueNa kule kwao asilimia ngapi ya watanganyika wanatakiwa kuajiriwa? vinginevyo wabakie hukohuko haya mambo ya kubebena bebana yametuchosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakikujibu nishtueNa kule kwao asilimia ngapi ya watanganyika wanatakiwa kuajiriwa? vinginevyo wabakie hukohuko haya mambo ya kubebena bebana yametuchosha
Chukua Kvant kubwa kwa Mangi nakuja lipaNingefanikiwa kuonana na Nyerere swali la kwanza kumuuliza aliwezaje kufuta nchi yake kwa ajili ya Zanzibari? Ardhi ya Tanganyika ambayo watanganyika wangefaidika nayo leo wanafaidika ambao kwako ni kwako ila kwetu ni kwao pia sijawahi kukutana na Mgogo akijitambulisha kuwa yeye ni Mgogo nchi za nje anajitambulisha kama Mtanzania lakini wazanzibari wote wanajitambulisha kama wazanzibari popote Duniani muungano kama unafaida bhasi ni kwa CCM si raia wa kawaida