Unafahamu 21% ya waajiriwa wanatakiwa kuwa Wazanzibar?

Wanzanzibar ni kama asilimia 2 tu ya Watanzania wote
Sasa ni mpuuzi gani alitunga sheria ya kipumbavu namna hii?
Huu muungano ni jinamizi.
Huu upuuzi niliuona pindi nipo JKT, wazenji walikuwa wanaajiriwa karibu asilimia 95 ya walioko JKT huku bara wakiambiwa waokote vikaratasi vya kubahatisha kama yes or No.
 
... ni sheria au kifungu kipi cha Katiba kinasema hivyo Chief! Na kama kipo, hao wazanzibari hawatatosha kujaza nafasi zitakazokuwepo - in short Zanzibar haitakuwa na tatizo la ajira.
 
... hiyo sheria haipo; ni wenge tu la mleta mada!
 
Wazanzibari wengi hawautaki Muungano.

Wanasema 'nchi' yao imekaliwa na 'mkoloni' mweusi; Tanganyika...

Sasa mbona tunawalazimisha..?!

Na kuwapa 'Rushwa zote hizo' ili tu Muungano uendelee..?!

Si tuuvunje tu badala ya kukaa kulialia..?!

Lazima LIPO JAMBO!
 
Muda mwingi wanahisi kuonewa tu.
Jambo la kushangaza kama mnafanya jambo nao siku wakijua kulifanya wanaanza chuki nawe!.
Imebidi nicheke kwa hii comment[emoji23][emoji23]
Talking from experience hii ni kweli kabisa.
 
Kwamba 21% ya WaTz ni WaZnz?
 
Kwa rasilimali tulizojaliwa na mwenyezi Mungu, na ukiangalia idadi yao wazanzibari namna ilivyo ndogo, tulitakiwa kuwa na uwezo wa kugharimia kila kitu hata kwa 100% kwa SMZ na bado tusiweze ku-feel kuwa kuna kitu kimetoka Tanzania Bara na kwenda SMZ.

Ni kwa sababu tu hatujaweza kuyaweka mambo yetu sawa kama yalivyotakiwa kuwa na ndiyo maana tunaweza wakati mwingine ku-feel kuwa kuna kitu kama hicho unachokisema wewe hapa
 
Umenena vyema Mkuu
 
Ajira nje nje kwenye wizara za muungano tu ambazo hazizidi hata nne

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wakati kwao kigezo cha kwanza ni kua mzanzazibar, fullnonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…