Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kina Baba wa Ki-Tanzania wanalea watoto sio wa kwao? Kazi kweli ipo hapo jamani.Asilimia 40 (40%) ya Wababa waliopima DNA(vinasaba)-kuhusu watoto waliowazaa,imegundulika watoto hao wanaowatunza sio wao.- MKEMIA MKUU WA SERIKALI
Asilimia 40 (40%) ya Wababa waliopima DNA(vinasaba)-kuhusu watoto waliowazaa,imegundulika watoto hao wanaowatunza sio wao.- MKEMIA MKUU WA SERIKALI
Kama mimi nalea watoto sio wangu inamaana kuna mwanaume nae analea watoto wangu.