Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jul 24, 2022 #1 Sababu kubwa ni kuwa magari hayakua na heating system. Ukisikia baridi ndani ya gari ukiweza kutengeneza kikombe cha kahawa ili kuongeza joto la mwili. Hii technology ilikufa walipoweza kuweka heater kwenye magari.
Sababu kubwa ni kuwa magari hayakua na heating system. Ukisikia baridi ndani ya gari ukiweza kutengeneza kikombe cha kahawa ili kuongeza joto la mwili. Hii technology ilikufa walipoweza kuweka heater kwenye magari.