Shule haifanyi vizuri bali wanaopelekwa huko niwanafunzi wenye IQ kubwa na wanaokula mlo bora na kukulia mazingira bora. Utakuta mtoto baba yake na mama yake walifika chuo kikuu au baba na mama wana akili ya biashara kwanini mtoto asiwe bright? Embu kafundishe kingereza kayumba kama wanafunzi hawajafeli