Unafahamu kwamba shule mpya za mfumo wa lugha ya Kiingereza za serikali zinafanya vizuri sana kiufaulu ukilinganisha na private?

Lugano Edom

Senior Member
Joined
Dec 2, 2021
Posts
122
Reaction score
186
Nataka nikujuze kuwa serikali sikivu na utendaji. Imeanzisha shule za msingi zinazotumia lugha ya Kiingereza kufundishia na hata wanafunzi wake wanazungumza kiingereza bila kubabaika.

Aloo. Tembelea siku moja shule hizi au mpeleke mwanao ukafaidi matunda ya nchi yako.

Je, unazijua ENGLISH MEDIUM ZA SERIKALI ZITUMIAZO LUGHA YA KIINGEREZA.

MIMI NAANZA NA MUSEVENI PRE AND PRIMARY SCHOOL NA WEWE TAJA NYINGINE UIJUAYO.
👇 👇
 
Shule haifanyi vizuri bali wanaopelekwa huko niwanafunzi wenye IQ kubwa na wanaokula mlo bora na kukulia mazingira bora. Utakuta mtoto baba yake na mama yake walifika chuo kikuu au baba na mama wana akili ya biashara kwanini mtoto asiwe bright? Embu kafundishe kingereza kayumba kama wanafunzi hawajafeli
 
Daah
 
Back
Top Bottom