Unafahamu majina ya nywele za sehemu zote za mwili wako?

Unafahamu majina ya nywele za sehemu zote za mwili wako?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Mathalani, za kwenywe kidevu zinaitwa ndevu, chini ya pua kwenye lip ya juu ya mdomo zinaitwa sharubu, za machoni zinaitwa kope, za juu ya macho zinaitwa nyusi, za kifuani zinaitwa love garden, za kichwa zinaitwa nywele, na za huko chini ndio kama mnavyojua tena.

Sasa, hizi za kwenye kwapa, ambazo saa zingine zinakua kama zimeshika au kunasa vumbi zito, zinaitwaje, au jina lake ni gani?

Lakini pia kuna hizi za kwenye migongo ya vidole vya mikono na miguu, nazo pia zinaitwaje au hazinaga majina?

Mfano, mtu anaweza kukushauri mathalani, rafiki, nyoa ndevu zako tafadhali ni ndefu mno, au akakuuliza kwanini umenyoa nyusi au kubandika kope?

Sasa hebu niambie za kwapani namshaurije mtu aziondoe bila kutaja neno nywele? natafuta kujua zina jina lake kama za kwenye maeneo mengine, ama hazina jina...
 
.
InShot_20240416_164525082.jpg
 
Mm nna zaidi ya miaka 35 lkn ndevu zangu zinahesabika yn n kama vile sina ndevu kabisa, nadhani hii nimerithi kutoka kwa dingi mana yeye hua ananyoa nywele zote tangu namjua.
 
Back
Top Bottom