Unafaidika na nini ukifanya mazoezi ya Kutembea au Kukimbia?

H
Hongera bro uko vizuri
 
Kwa wiki napumzika mara mbili tuu nakimbia kila siku 5km nataka angalau nifikie 6km.
Nilianza na 3km tena kwa kutumia muda mwingi naw maendeleo na speed naviona kukata wese from 82kg to 73kg si mchezo target yangu ni 67kgView attachment 1251824
Mkuu jiunge na runners club zitakumotivate sana. Pia tumia app ya strava nzuri sana
 
Mkuu tafuta runners club zitakumotivate sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…