GE2025 Unafanya kazi sana na huna utu unabwagwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mjumbe wa NEC Richard Kasesela amesema Wajumbe wanapaswa kuwachagua viongozi ambao licha ya kazi yao watazingatia Utu .

Kasesela amesema Kazi na utu ndizo nguzo huku akisema unaweza fanya kazi sana ukakosa utu itapelekea kubwagwa.

Ikumbukwe hii ni kauli mbiu Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, ambapo Rais Samia atakuwa mgombea wa CCM kupitia nafasi ya urais.

Waambie wajumbe watulie... Wale fedha!
Majina yapo kwenye Maziwa!
 
Kwao sioni kazi wanayo ifanya na pia hawana utu
 
Mjumbe wa NEC Richard Kasesela amesema Wajumbe wanapaswa kuwachagua viongozi ambao licha ya kazi yao watazingatia Utu .

Kasesela amesema Kazi na utu ndizo nguzo huku akisema unaweza fanya kazi sana ukakosa utu itapelekea kubwagwa.

Ikumbukwe hii ni kauli mbiu Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, ambapo Rais Samia atakuwa mgombea wa CCM kupitia nafasi ya urais.

Sisiemu mafisi wacha watafunane
 
Back
Top Bottom