Unafanya nini baada ya mshindo kusubiri awamu nyingine

bhabkhan

Member
Joined
Dec 22, 2022
Posts
30
Reaction score
67
Husika na kichwa cha habari,

Kila mtu na jinsi alivyobarikiwa juu ya kutake time kutoka mshindo mmoja kwenda mwingine. Wapo wanaounganisha, wapo wa dakika 5, 10 na zaidi.

Je kwa wewe unaetumia amount of minutes kwenda mshindo mwingine Huwa unafanya nini wakati unasubiri. Binafsi Huwa napiga story na manzi yangu.

Haya karibuni wakali wa hizi kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…