Unafanya nini ukim-miss umpendae

Unafanya nini ukim-miss umpendae

Girlie Girlie

Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
87
Reaction score
4
Mi huwa napata kilaji kama nimem-miss sana, lakini kilaji kikikolea ndo nnam-miss zaidi.
 
siku hizi hakuna kumisiana kuna simu,video calling raha tupu...mnh:A S 13::wink2:
 
Yupo Kichwani Mwangu na Rohoni kwangu kwahiyo tunakuwa wote all the Time...
 
nikimmiss nimpendae nakuja JF,nachangia hoja wee hadi nipate usingizi nilale.....idumu JF,imenisaidia sana kwa mengi!
 
Back
Top Bottom