Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
Katika vitu vinavyofanya usile nyama na samaki ni umaskini ulio nao usisingizie mafuta ingekua hivyo pale sokoni ferry watu wangekua hawana ngozi
Wakuu katika vitu vinanifanya nisile nyama au samaki za kuunga ni vile unavyokaanga halafu mafuta yanakurukia. Yaani unakuwa unapika sura umeweka Magharibi mkono unaogeuza mboga kwenye mafuta uko mashariki.
Mimi huwa napaka unga wa ngano, lakini wakati mwingine huwa sitaki kupata ladha na muonekano ule wa unga wa ngano.
Je, kuna njia nyingine ya kukaanga samaki au nyama bila kurukiwa mafuta? Wewe unatumia njia gani?
Naombeni ujuzi wenu wadau.
Acha makasiriko mkuu...kama una mbinu ya kufanya mafuta yasiruke lete maujuzi hayoKatika vitu vinavyofanya usile nyama na samaki ni umaskini ulio nao usisingizie mafuta ingekua hivyo pale sokoni ferry watu wangekua hawana ngozi
ππππ dah.... tatizo inakuwa tabu kuona unachogeuzaKaa mbali ili usirukiwe na mafuta. Kwa nini unakaa karibu π
shukran mkuukwani kikaango kizima kinabiduka kukumwagia mafuta mkuu?? hivo vichembe chembe mbona kawaida ukikaanga ngisi s ndio utakimbia jiko?? kwa ngisi kaaanga bila kuachia mkono kwa mda yan unageuza geuza ila kwa samaki wa kawaida utawatoa nyama ukiweka upande uliopo kwenye kikaango chamafuta usimgeuze had uone maji yamekauka yamebaki mafuta ukimgeuza ananyanyuka mzima inasaidia nauhakikishe mafuta yamepata moto kingine ni yale macho ya samaki yakitoka pia husababisha mafuta kuruka
Inabidi nihamie huku kwakweliair fryer bila ya mafuta dk kadhaa tu tayar.
Asante MkuuUkikaanga hakikisha samaki hana majimaji
Ukishamsafisha futa na tissue vizuri half weka viungo kaanga.... Mafuta hayatakurukia
Pia wakati wa kuweka samaki/nyama kwenye kikaangio jikoni usirushe, tumia upawa weka polepole