young_mesult
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 133
- 35
Naomben ushaur wadau
Nenda TCU watakusaidia...
Hiyo Dogo mtata kweli, amepiga chabo Mpaka namba ya mwenzie, Huyo Kama kashindwa kujua hata namba yake anajaza ya mwenzie bora akae home tu asije leta majangaHabari za mchana wana JF.
Kuna mdogo wa rafiki yangu amekosea namba ya kujaziaa form zile za TCU, amejaza ya mwenzake wa pembeni yake sasa hapo itakuaje maana info zingine kama jina mahali yote ya kwake ila namba ya mtu mwingine naomba ushauri hapo ni muhimu sana.
acha habari zako hapa. unapojaza ile fom ya tcu ukikosea namba wanakupa ujumbe kuwa namba uliyoingiza sio sahihi.
lakini pia wewe umebuni hii story tcu system yao haiwezi kufanya ivo cuz kuna sehemu ya kujaza namba ya Form 4 & 6 sasa ukijaza namba ambayo sio yako system inagoma cuz itaona majina ni tofauti. au utwambie namba ya FORM 4 & 6 kajaza za mwemzake kitu ambacho hakiwezekani.
jipange upya maana umefeli kudanganya
Kama una shida kweli utaenda TCU
Hebu toa ufafanuzi vizuri umekosea kujaza no ya 4m4 au 4m6 au zote kwa pamoja? Maana automatically TCU wapo makini sana kwenye system yao ukikosea hata herufi moja tu mzigo unazingua sasa sijui ww umejaza vipi.
apo ni pagumu kuelewa yaani. sijui kama ni ya kweli yaliyoandikwa na mdau
Nipo nje ya dar mkuu...
Npo Arusha makao makuu yapo Dar es salaam navyojuaa...
Piga simu namba hii: 022 2772657
Kama upo Arusha nenda pale Naura Spring Hotel kuna semina ya Vyuo Vikuu. Ukifika pale utakuta watu wa TCU kutoka makao makuu uewaeleze hilo tatizo. Watakusaidia