Unafanyaje Ukikosea kujaza namba ya mtihani TCU?

Nijibuni jaman pls


Matokeo yako ya form 6 yakoje??? maana pia selection inaenda na ufaulu wako na competition ilivyo kwenye hiyo course uliyoomba kama wengi walioomba wamekuzidi possibility ya kupatA nayo inapungua .
 
Sasa wewe kijana ulitumia soft copy au hard copy,maana tcu ni soft tu na soft unaruhusiwa kuedit na ndio maana wamekupa option za editing,pale kuna form for details,form six details,nenda badilisha namba ukishabadilisha tu mtandao utasoma matokeo ya namba yako na hapo ndipo utaprove kama ni yako ama siyo.FANYA HIVYO.SIJUI KAMA NITAKUWA NIMEKUELEWA.
 

Kumbe alijaza na jina lake kwenye form ya TCU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…