CharlesMunyaka
Member
- Jul 24, 2014
- 65
- 3
Nijibuni jaman pls
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijibuni jaman pls
Jaman selection yangu ipo ivi udsm-law,mzumbe-law,mzumbe-human resource management nipo nmeamua kuselect course tatu coz ivo ndo vyuo navovitaka....swali langu ni kwamba nipo sahihi ktk selection yangu...kwa wanaoweza kusaidia jamani so wale wa kucriticise..thanks
Language B+,Hisrory B,Kiswahili B,G.S C..ayo spo
Habari za mchana wana JF.
Kuna mdogo wa rafiki yangu amekosea namba ya kujaziaa form zile za TCU, amejaza ya mwenzake wa pembeni yake sasa hapo itakuaje maana info zingine kama jina mahali yote ya kwake ila namba ya mtu mwingine naomba ushauri hapo ni muhimu sana.