MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Kwanza nilishikwa na hacra juu yake, nikajiuliza ana matatizo gani huyu mdada? hakika niliamini kuwa either hana akili timamu au ni limbukeni wa mawazo. Yaani nikawaza miaka mi3 tangu mtengane, mwanaume hana contacts kabisa na wewe pamoja na kuwa na mwanaye unayemhudumia kwa kila kitu, bado anamfikiria na kumuingiza katika kila shauri la maisha yake! Hakika sikumwelewa! hata kama walioana kisheria wakatendeana vya kutendeana, but, mume akaenda kivyake, na mke na mtoto wakakaa kivyake .
Lakini baada ya kutulia nikajiuliza
1. Unafanyaje iwapo umri unakwenda nawe unatamani kuwa na mtoto hata kama situation yako ni complicated?
Unataka mtoto wa nje ya ndo au ndani ya ndoa.
samahan kidogo mj1...
unazungumza apo juu "ana matatizo gani huyu mdada?"...alaf sentenzi za chini zinazofuata zinamzungumzia "mkaka"....
alaf baada ya kusema hayo naomba ni-log out...nitarudi bidae kaa vip...
Unafanyaje iwapo umri unakwenda nawe unatamani kuwa na mtoto...
miaka mi3 tangu mtengane, mwanaume hana contacts kabisa na wewe pamoja na kuwa na mwanaye unayemhudumia kwa kila kitu, bado anamfikiria na kumuingiza katika kila shauri la maisha yake!...
There goes ma big sisy! Heshima yako Mj1....nitarudi baadae, ngoja kwanza nilale!
Unataka mtoto wa nje ya ndo au ndani ya ndoa.
...............Eh! Hata wewe??! lol:juggle:
...swali zuri sana...😛oa
samahan kidogo mj1...
unazungumza apo juu "ana matatizo gani huyu mdada?"...alaf sentenzi za chini zinazofuata zinamzungumzia "mkaka"....
alaf baada ya kusema hayo naomba ni-log out...nitarudi bidae kaa vip...
...hahah, mpwa....usitumie katiba kuhukumu kesi hii...
mdahalo huu ukitaka kuufaidi usome << backwards<< ...anzia;
kisha endelea na;
Aksante Bigirita.mi kazi yangu ni kugonga 'LIKE' tu, kuanzia mwanzo hadi mwisho..............'LIKE' is my comment!!!
wapi kesto laiti niendelee kugonga LIKE hapa.
Wa nje ni wanje tu, na wa ndani ni wandani tu.Ukaona hapa hapatoshi eh?! Wa nje na ndani ndo wakoje?
Kwanza nilishikwa na hacra juu yake, nikajiuliza ana matatizo gani huyu mdada? hakika niliamini kuwa either hana akili timamu au ni limbukeni wa mawazo. Yaani nikawaza miaka mi3 tangu mtengane, mwanaume hana contacts kabisa na wewe pamoja na kuwa na mwanaye unayemhudumia kwa kila kitu, bado anamfikiria na kumuingiza katika kila shauri la maisha yake! Hakika sikumwelewa! hata kama walioana kisheria wakatendeana vya kutendeana, but, mume akaenda kivyake, na mke na mtoto wakakaa kivyake .
Lakini baada ya kutulia nikajiuliza
1. Unafanyaje iwapo umri unakwenda nawe unatamani kuwa na mtoto hata kama situation yako ni complicated?
...............Eh! Hata wewe??! lol
Mh! Soulmate! naona semantic imechukua asilimia kubwa zaidi ya maudhui ya thread?! Ama kweli............
mimi kwishagonga LIKE kule juu...........kakague...
...Oohhh mungu wangu wee...nini tena soulmate, nini tatizo?
nahisi sihitajiki kuchangia lolote humu :A S-coffee:...Biggie nigongee like moja hapa na mimi aisee..
What exactly are you talking about?