...nashawishika kujibu kwamba lisilobudi hutendwa soulmate wangu...
ile thread yangu ya mtoto wa kike nilipewa changamoto nyingi sana, na mojawapo lililonigusa sana
was, nitakuwa simtendei haki mtoto wala huyo mama niliyekuwa nimemdhamiria nimzalishe binti...
kwani hiyo itakuwa kukidhi matamanio ya nafsi yangu pekee...kumbuka, nilitaka mtoto pekee, sio whole package.
...kwa mada yako hii, sijaelewa mdada kakusudia kujitegeshea kwa ex-hubby wake apate mimba nyingine,
au umekusudia nini...sijakuelewa....lakini kama lengo ni kuzaa na ex-hubby, ni powa tu...madhali hawajaachana
[wametengana tu]....kwangu mimi nadhani hiyo ina nafuu hata kwa malezi ya mtoto iwapo mama mtu atapatwa na matatizo baada ya kujifungua, nk...