MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
- #81
Kwanini asitulie alee huyo aliyenae mpaka atakapotokea mtu wa kueleweka?
Angekua hana kabisa ningeelewa mchecheto unapotokea. . . ila kwasababu anae mmoja angetulia nae ampe hayo mapenzi yote anayotamani kumpa mtoto mpya mpaka atakapokua kwenye position ambayo hana haja ya kutafuta mtu wa kuzaa nae, ila anaamua tu iwe lini.
......Ni kweli Lizzy hata mie nilimwambia atulie but naona amekuwa ameaamua. Mwanaye huyo ana miaka sita anakwenda wa saba sasa na alitengana na mumewe wakati mwanaye huyo akiwa na umri wa miaka minne. She is nearly 40