Umeona eh Ndahani! Yaani Soulmate wangu ananichuuza. Halafu Konyagi ikiisha kichwani, uex na chuki zake unarudi pale pale! Au ndo atasema si umeshapata ulichokuwa unahitaji!!
Basi aridhike Mbu. .
...Lizzy, assume huyo mdada'ke mwj1 ana 35yrs+....au unataka aje kuzaa mongoloids?
Loh. .......Ni kweli Lizzy hata mie nilimwambia atulie but naona amekuwa ameaamua. Mwanaye huyo ana miaka sita anakwenda wa saba sasa na alitengana na mumewe wakati mwanaye huyo akiwa na umri wa miaka minne. She is nearly 40
msimlaumu huyo mama,kama anajiweza kimaisha,why not?huyo mtoto akikua ata wish awe na kaka au dada.huyo jamaa yeye amesha move on,na yeye asubiri nini?she is nearly 40,ni mtu mzima,na anajua nini anafanya.siku hizi wa kumpata wa for better for worse ni ngumu.kila mtu ana cheat kwa upande wake.kumpata m.me wa 40 plus wengi wao ni waume za watu.yeye hana haja ya vigelegele vya ulisema haolewi mbona kaolewa,akikosa wa peke yake,bora a adopt
Kongosho kusema ukweli hadi ninahisi wewe ndio huyu Sisy wangu eh......yaani yote aliyoniambia baada ya mie kiMJ kujitia ni kamama ushauri flani hivi. Mbona nilibaki mdogo kama piritoni! Na ndio maana nikasema mwanzoni sikumwelewa kabisa but baada ya kunipa risala yake nikajikuta najiwa na hilo swali nililouliza!.Kipipi mdogo wangu, kua uyaone.
It's so hard kuwa na mtoto mmoja
utachukua any risk kama hata kuna 0.1 % ya kupata mtoto.
So many things, wazazi, mtoto mwenyewe, ndugu, nafsi yako mwenyewe.
Afu hakuna adui mbaya kama nafsi yako mwenyewe. Kama ulipanga maishani kupata watoto 3 afu circumstance zikakufanya upate mmoja, sio rahisi kabisa kulibeba.
Kipipi mdogo wangu, kua uyaone.
It's so hard kuwa na mtoto mmoja
utachukua any risk kama hata kuna 0.1 % ya kupata mtoto.
So many things, wazazi, mtoto mwenyewe, ndugu, nafsi yako mwenyewe.
Afu hakuna adui mbaya kama nafsi yako mwenyewe. Kama ulipanga maishani kupata watoto 3 afu circumstance zikakufanya upate mmoja, sio rahisi kabisa kulibeba.
Kongosho kusema ukweli hadi ninahisi wewe ndio huyu Sisy wangu eh......yaani yote aliyoniambia baada ya mie kiMJ kujitia ni kamama ushauri flani hivi. Mbona nilibaki mdogo kama piritoni! Na ndio maana nikasema mwanzoni sikumwelewa kabisa but baada ya kunipa risala yake nikajikuta najiwa na hilo swali nililouliza!.
Aksante dia. huyo mume anayeviziwa hapa alikuwa mume wake (au bado ni mumewe ingawa walitengana kwa miaka mitatu iliyopita). HAWANA MAWASILIANO KWA MUDA MREFU. Yaani si yule mume wa kuja kumsalimia mtoto wala nini, hawajapeana talaka. Sasa ninachojiuliza hapa ni anaanzaje kumtafuta na kumwelewesha? Mbu amenipa jibu
Hahh siwezituma maombi Soulmate? au nitume mzaramo kabisa?
Haaahaaa! Tutailamu konyagi na mikono yake kwa kuleta sokomoko ndani ya mji wa tu! Hii kali, duuh
Labda ni usingizi....
Kuna mtu anatafuta sperm donor sio? Umri unazuia.....ok...let her take the risks.....
Hahahahah Shemeji nikupe contacts zake?
What exactly are you talking about?
MJ1 Dear.... ndio nishaanza kukuchunguza hivo...lol... Will be back....:eyebrows: