Unafanyeje ili ndoa yako idumu?



Kwa upande wangu mm, najua ili ndoa idumu ni kuwa na maelewano kati yenu , na kila mmoja wenu akikosa akubali kosa na kuomba msamaha. na hakikisheni mnasamehana. mtaishi vizuri na kwa upendo.
 
Kuvumiliana , kuchukuliana, kusameheana, kwa kila jambo
 
Amen to that Dreamliner; Tuombe mungu atupe ujasiri wa kuyashika hayo!
 
kama ni mwanamke anatakiwa kuchunga sana mavazi yake
asivae mavazi ya kutega kwani mumewe atamchoka
angalia mfano mmoja unapokua umezoea kuangalia picha za xxx maranyingi mwanzo zinakukeep busy lakini baada ya muda zinakua za kawaida
na hivyo ndio wnawake wanavyokua..
so women take care!!!!!!
 
kubali kukoselewa.....ukikumbuka kuwa hakuna mkamilifu.

jiheshimu kwa maneno na mavazi ukiwa mtaani but a freak in bed (nasikia hii muhimu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…