Unafanyeje ili ndoa yako idumu?

Unafanyeje ili ndoa yako idumu?

Tatizo la kuvunjika kwa ndoa limekuwa kubwa, sio hapa kwetu tanzania tu, bali pia ulimwenguni kwa ujumla.
Je unafanyeje ili kuidumisha ndoa yako?
Dondosha siri ya mafanikio ya kusimama imara kwa ndoa yako, ili na mwenzako aweze kunufaika na darasa jipya la ndoa.


Kwa upande wangu mm, najua ili ndoa idumu ni kuwa na maelewano kati yenu , na kila mmoja wenu akikosa akubali kosa na kuomba msamaha. na hakikisheni mnasamehana. mtaishi vizuri na kwa upendo.
 
kama ni mwanamke anatakiwa kuchunga sana mavazi yake
asivae mavazi ya kutega kwani mumewe atamchoka
angalia mfano mmoja unapokua umezoea kuangalia picha za xxx maranyingi mwanzo zinakukeep busy lakini baada ya muda zinakua za kawaida
na hivyo ndio wnawake wanavyokua..
so women take care!!!!!!
 
kubali kukoselewa.....ukikumbuka kuwa hakuna mkamilifu.

jiheshimu kwa maneno na mavazi ukiwa mtaani but a freak in bed (nasikia hii muhimu)
 
Back
Top Bottom