Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

Fanya mambo yaleyale na vitu vilevile kama ulivyofanya mwanzoni wakati unambembeleza mwenzio kule kwenye viunga vya kanisani sijui, mpaka akakukubalia na kukupenda kuwa pamoja nawe kwa huzuni na furaha, hadi mauti itakapowatenganisha 🙂
 
Habari wana jf! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha??
Hayo ni matokeo. Mara nyingi wanawake huwa mnaanza maudhi na kunyima unyumba. Mwanaume anavumilia hadi anachoka. Akichoka anatafuta mchepuko, ukija kusituka mwanaume hana hamu na K yako. Hapo ndipo unaanza kulaumu kwanini anachepuka.

Jinsi ya kufanya, jitathimini ulipoteleza, jaribu kujirekebisha. Anza upya naye atabadilika bila ya ukali maana dawa ya moto ni maji si moto. Kila la kheri
 
We sema ka umefumaniwa tu aina haja ya ku beat around!
We sema ka umefumaniwa tu aina haja ya ku beat around!
Acha ujuaji wewe, ukifumaniwa wewe uliefumaniwa ndio hisia zinaisha kwa mwenzio eboo! My man cheated on me hii mara ya pili nimekuta evidensi kabisa.
 
Nimeongezea mkuu soma tena unishauri please!
Nafikiri jipe muda tu uone hali itakuwaje. Itategemeana na jinsi huyo mwenzako anavyo- au atakavyo-jibehave. Kama ataonyesha kujutia kitendo hicho cha kukucheat basi msamehe tu. Ieleweke wanaume sisi hata pale tunapocheat si kwamba hatuwapendi wake zetu. Huwa mara nyingi ni utoto tukikua huwa tunaacha!
 
Back
Top Bottom