Usalama barabarani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 867
- 1,066
Wa kumchangamsha.Muambie akutafutie mke mwenza.
Kwasasa sina hamu wala hisia kwa mwenza wangu tatizo ni ananivuruga na kunichanganya sana. Ananicheat mpaka najua sasa moyo umepondeka sanaMoyo umekufa ganzi tu bila sababu au kuna mambo yamepelekea hilo.?
Weka wazi wataalamu, wakusaidie
We unaweza fanya hivo?? Ngumu hii!Muambie akutafutie mke mwenza.
We ishi usitumie nguvu. Yaani mi naishi tu
Hayo ni matokeo. Mara nyingi wanawake huwa mnaanza maudhi na kunyima unyumba. Mwanaume anavumilia hadi anachoka. Akichoka anatafuta mchepuko, ukija kusituka mwanaume hana hamu na K yako. Hapo ndipo unaanza kulaumu kwanini anachepuka.Habari wana jf! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha??
We sema ka umefumaniwa tu aina haja ya ku beat around!
Acha ujuaji wewe, ukifumaniwa wewe uliefumaniwa ndio hisia zinaisha kwa mwenzio eboo! My man cheated on me hii mara ya pili nimekuta evidensi kabisa.We sema ka umefumaniwa tu aina haja ya ku beat around!
Your thread is too short to the extent that I don't know how can I help you.
Are you male or female?
Nimeongezea mkuu soma tena unishauri please!Your thread is too short to the extent that I don't know how can I help you.
Are you male or female?
Nafikiri jipe muda tu uone hali itakuwaje. Itategemeana na jinsi huyo mwenzako anavyo- au atakavyo-jibehave. Kama ataonyesha kujutia kitendo hicho cha kukucheat basi msamehe tu. Ieleweke wanaume sisi hata pale tunapocheat si kwamba hatuwapendi wake zetu. Huwa mara nyingi ni utoto tukikua huwa tunaacha!Nimeongezea mkuu soma tena unishauri please!
Weee nawe kidhungu kingi, mtu kashakwambia mume wangu tena unauliza, kwani unafikiri anaishi Luxembourg.... kule kunako same sex marriage.Your thread is too short to the extent that I don't know how can I help you.
Are you male or female?