Huku kjenge mwanama hakuna umeme pia mkuu...Nipo Arusha, umeme haupo upande niliopo, jana pia walikata mchana kutwa.
Yeye aliahidi ndio fundi mitambo ya vyanzo vyote vya nishati ya umeme?Makamba ndio katuahidi umeme hautakatika tena!
Umemuelewa mtoa hoja kweli?Yeye aliahidi ndio fundi mitambo ya vyanzo vyote vya nishati ya umeme?
Pamoja na mapungufu ya Magu ila kauli zake zilikuwa mamlaka tosha.
Nimeelewa,ila nimemjibu mchangiaji siyo mleta hoja pale juu.Umemuelewa mtoa hoja kweli?
Hapo juu ndipo penye ukakasi .Nimeelewa,ila nimemjibu mchangiaji siyo mleta hoja pale juu.
Thus why nimereply.Angalia vizuri mwanzoni
Pamoja na mapungufu ya Magu ila kauli zake zilikuwa mamlaka tosha.
Jembe lileMagu alikuwa na deep state 2
1.Official
2.Personal (private)
Hii ilijitahidi kupita njia za mkato kwa faida na maumivu.