Unafiki huu mpaka lini? Kila Zuri sifa Rais, Umeme ukikosekana lawama kwa Waziri

U Communist ni Shida
 
Hiyo ndio ccm bhana ! mwenye hela nyingi mezani ndio huyo huyo
 
Kuna msemo nilisikia mahali fulani, toto zuri la baba na toto baya la mama.
 
Sifa za Magufuli zilikua halali,aliitendea haki nafasi ya ukuu wa nchi ,kwa ni kinyaa tupu
 
Mdau hadi sasa kuna gape nakushauri agiza contena la electric generators utauza mapema kabisa..... Wapiga deal wapo kazini..... Ongeza kipato mzee.... [emoji1787] Kupiga domo sahizi sio deal..... Deal ni mutembea na gap.....
 
Arusha,Morogoro,Mwanza,Tabora,Kahama,Singida Leo hii Hakuna Umeme
na Jitu linaingia Wizarani na Michuki kwa JPM Mtu hatunae tena
Tanesco Inarudi Nyuma Miaka 10 Kutoka sasa
Inakera sana
Hata huku Njombe hakuna umeme
 
Magu alikuwa na deep state 2
1.Official
2.Personal (private)
Hii ilijitahidi kupita njia za mkato kwa faida na maumivu.
Sasa muda wa kulia Machozi ya damu umefika..... [emoji1787]
 
Unafiki tukiofundishwa na kulelewa nao nchi hii sidhani kama uko sehemu yeyote duniani. Hapa ndiyo kitovu chake na CCM ndiyo waasisi.

Sijawahi ona wala kusiki nchi ambayo Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, CDF, IGP, Spika na JAJI MKUU wote wanajikomba kwenye ule mhimili uliojichimbia zaidi. Only in Tanzania.....!!
 
Hakuna uwazi, kama kuna mgao inatakiwa isemwe wazi na watu wajue ratiba zao ili wakinge vifaa vyao lakini inachukiza kuona umeme unakatika watu wote wanalalamika anakuja waziri anasema hakuna mgao wa umeme. Bunge limeshindwa kuleta hoja ya dharura waambie kuna nini kinaendelea. Au jamani watu wameshaanza kampeni Mama wanamfanyia figisu kabisa nchi imshinde, sasa Mama hana watu wake wakujuwa nini kinaendelea hapa. wamekaa kimya kama mambo yako vizuri tu leo unasikia issue ya maji. Mimi sijawahi kuwa mpenzi wa JPM lakini katika hili aliwezaje leo hii kaingia Makamba tu mabalaa yameanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…