Mama ni wa hovyo kwa sababu dhalimu alikuwa wa hovyo sana. Hakutengeneza mifumo heavy ya kitaasisi bali alikuwa anajijengea ego yake kama vile ataishi milele. Kiongozi bora ni yule ajengaye kesho imara kwa wengine na sio ubinafsi wa sifa kama mshamba yuleMtaelewa tu maninx!
Mlimuita Shetani dhalimu ila hamkuwahi kulala gizani wala kuumia na kiu cha maji[emoji3]!
Endeleeni kushangilia “Mama anaupiga mwingii”
Kwangu mie udhaifu wa hayati nauona hapo ila sio kwamba hakuwa na nia thabiti ya kukomboa watanzania wenzake!Mama ni wa hovyo kwa sababu dhalimu alikuwa wa hovyo sana. Hakutengeneza mifumo heavy ya kitaasisi bali alikuwa anajijengea ego yake kama vile ataishi milele. Kiongozi bora ni yule ajengaye kesho imara kwa wengine na sio ubinafsi wa sifa kama mshamba yule
Wapotoshaji na waongo wako wengi sana serikali hiiKwangu mie udhaifu wa hayati nauona hapo ila sio kwamba hakuwa na nia thabiti ya kukomboa watanzania wenzake!
Alifeli hapo tu yani japo kuna mifumo alianza kuweka ila inazoroteshwa makusudi na walafi waliopo madarakani ili wapige hela!
Kama kuna msenge ambaye haaminiki serikalini ni huyu jamaa hapa 😅Wapotoshaji na waongo wako wengi sana serikali hii
View attachment 2013915
Leo sisi wametustahiHuku wamekata now dah
kwa hiyo mama anaijenga kesho kwa kukata umemeMama ni wa hovyo kwa sababu dhalimu alikuwa wa hovyo sana. Hakutengeneza mifumo heavy ya kitaasisi bali alikuwa anajijengea ego yake kama vile ataishi milele. Kiongozi bora ni yule ajengaye kesho imara kwa wengine na sio ubinafsi wa sifa kama mshamba yule