'Unafiki' huu sijauzoea japo ni mwana Simba SC tena 'lia lia' kabisa, jana tumecheza 'Mechi Mazoezi' na Green Warriors na Kufungwa je, mbona hatusemi?

Katika Watu ambao Kwanza si 'Weledi' wa 'Tasnia' hiyo husika halafu hata 'IQ' yake tu katika 'Issues' ni ndogo sana basi ni Shaffih Kajuna Dauda.
 
Mods watoe hii takataka maana kuna vichwą vibovu vyenyewe vinăishia kuso heading tu kisha vinatiririsha utopolo wao bil@ kupitia maoni ambayo ndio yamebeba ukweli,

Nashukuru Moderators wa JamiiForums huwa hawana 'Masikio' wala 'Macho' ya ama 'Kumsikiliza' na 'Kumtizama' Mtu 'Dunderheaded' kama Wewe.
 
Si mlikuwa 'hamniamini' pale niliposema kuwa Mtangazaji wa Clouds FM Shaffih Kajuna Dauda ndiyo amesema hivyo? Tatizo lenu kubwa ni Unafiki.
Soma tena title ya uzi uone kama inaonyesha umemnukuu Shaffih. Tena umeongeza na maneno yako kabisa kwamba hupendi unafiki. Uzuri si rahisi ku-edit title ya thread, na imebaki kama kumbukumbu
 
Mods watoe hii takataka maana kuna vichwą vibovu vyenyewe vinăishia kuso heading tu kisha vinatiririsha utopolo wao bil@ kupitia maoni ambayo ndio yamebeba ukweli,
Mkuu, angalia maneno yaliyoongezwa chumvi kwenye title, amesema hapendi unafiki. Title zenye kunukuu chanzo kingine huwa haziongezewi maneno
 
Bila shaka nawe uliingizwa chaka

Na Shaffih Dauda na Yeye pia aliingizwa 'Chaka' hilo hilo na Oscar Oscar tatizo liko wapi? Mnaacha 'Kumjadili' Shaffih 'Mnanijadili' Mimi. Hopeless!!!
 
Soma tena title ya uzi uone kama inaonyesha umemnukuu Shaffih. Tena umeongeza na maneno yako kabisa kwamba hupendi unafiki. Uzuri si rahisi ku-edit title ya thread, na imebaki kama kumbukumbu

Mbona hata Wewe 'Kumbukumbu' yako ya 'unavyobanduliwaga' bado tunayo? Hivi kama nimesema nimemsikia Shaffih Dauda hapo sijaweka wazi?
 
Kutukana ni ishara ya kuishiwa hoja. Mimi hoja yangu si kunukuu uongo, ila kuongeza maneno yako juu ya yale yaliyonukuu uongo. Unataka kusema kwamba haya hapa chini yalikuwa ni maneno ya chanzo cha kiongo cha Shaffih, au ya kwako?
'Unafiki' huu sijauzoea japo ni mwana Simba SC tena 'lia lia' kabisa, jana tumecheza 'Mechi Mazoezi' na Green Warriors na Kufungwa je, mbona hatusemi?
 
Mkuu, angalia maneno yaliyoongezwa chumvi kwenye title, amesema hapendi unafiki. Title zenye kunukuu chanzo kingine huwa haziongezewi maneno

Huna 'IQ' ya 'Kunielewa' Mimi GENTAMYCINE hata Siku moja na ninakushauri tu endelea 'Kufarijiana' tu na huyo 'Mnyengwaji' mwenzio uliyemjibu.
 
Kutukana ni ishara ya kuishiwa hoja. Mimi hoja yangu si kunukuu uongo, ila kuongeza maneno yako juu ya yale yaliyonukuu uongo. Unataka kusema kwamba haya hapa chini yalikuwa ni maneno ya chanzo cha kiongo cha Shaffih, au ya kwako?

Sasa unakubali nini na tena unakataa nini? Hivi kwanini Mwenyezi Mungu nae huwa 'anapoteza' mno tu muda wake Kuumba 'Majuha' kama Wewe?
 
Nashukuru Moderators wa JamiiForums huwa hawana 'Masikio' wala 'Macho' ya ama 'Kumsikiliza' na 'Kumtizama' Mtu 'Dunderheaded' kama Wewe.
Acha ujinga wewe, yani ukisikia neno kutoka katika hayo mabaraza yenu ya umbea huko mnaposafishana kucha unakuwa na kiherehere cha kukurupuka kuja kupost hapa? Fanya kauchunguzi japo kidogo.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shirikisha űbongo hata wa jirani kama wako umechanganyika na kamasi.

Usirudie tena huu UTOPOLO
 
Mkuu, angalia maneno yaliyoongezwa chumvi kwenye title, amesema hapendi unafiki. Title zenye kunukuu chanzo kingine huwa haziongezewi maneno
Huyo jamaa ni anajiona much know sana wakati ni mburula tu,
 
Tangu kitambo Mashujaa FC wanawanyanyasa sana Simba SC!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…