Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Pale mtu na demu wake wanapoongoza Taasisi
After Romance wanaamu kuipeleka timu icheze na Urafiki stars [emoji2]
After Romance wanaamu kuipeleka timu icheze na Urafiki stars [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inadhihirisha Tanzania tuna waaandishi na watangazaji makanjanja.
Leo nimeona Shafih akikanusha hiyo habari na kusema aliona kwenye page ya oscarjunior. Sasa najiuliza inakuwaje mwandishi mkubwa kama huyo anaripot habar bila kuwa na reliable source.