Hii inadhihirisha Tanzania tuna waaandishi na watangazaji makanjanja.
Leo nimeona Shafih akikanusha hiyo habari na kusema aliona kwenye page ya oscarjunior. Sasa najiuliza inakuwaje mwandishi mkubwa kama huyo anaripot habar bila kuwa na reliable source.