Unafiki na chuki zinadhihirika katika migogoro ya kimataifa

Mashoga ni lazima wateteane so usishangae ukiwaona wanaisakama azam
Ni sababu shoga mwenzake shoga
 
Watu au Binadamu wanaishi na CHUKI ndani ya Akili zao roho na moyo na ili chuki mtu impatie furaha lazima amuone Binadamu mwenzake anapitia Magumu .

Mfano kuhusu hii Vita watu wamejaa chuki Sana
Donald trump katika Kitabu chake Cha big think kasema Simba anaua wanyama wenzake ili atibu njaa Ila Binadamu anaua Binadamu mwenzie ili Apate furaha ..so sikujua yule Jamaa Kama yupo na madini kiasi hiki


Mfano katika hii Vita Kama Dunia tulibidi kupamabana kuhakikisha watu wote nchi zote zinakaa kwa Amani na sio kutetea upande wowote maana Kama Vita ingekuwa haiusishi mauaji ya Aina yoyote Basi Mimi ningesimama na palestina
 
Mtu kama huyu hajaingia hapo Kwa bahati mbaya,hii planned kabisa.......lingekuwa ni jambo la kuwachukiza hata camera zingemkwepa ila kwasababu ndiyo target yao inakuwa wengi waone ndiyo shida inapoanzia.....hapo huoni hata Stewart wakimfukuzia
Nimesema post hiyo ni Wadhamini hivyo hausiani moja kwa moja na hoja nilizotoa , na hayo uliyoyasema nilifikiria kabla ya kupost ndio maana sikuambatanisha na hoja bali imekuwa kama Wadhamini wa kuchangamsha thread.
 
Sijataka Palestine isapotiwe bali nimekemea chuki iliyoonyesha na baadhi ya watu katika uzi huu akiwemo Bams kwa kitendo cha Azam media kurusha kipande cha mashabiki kuonyesha bango la Palestine kitu ambacho sio sawa.

 
Huko mbali sana Hatukuona bandiko/habari hata kwenye mechi kubwa hapa ndani ya kutetea hata ndugu wamasai au kwavile sio ndugu zetu katika imaan?
Bango wameweka WaMisri sio wabongo, Ingekuwa wabongo tungewauliza hilo swali.
 
wewe ndio wale mlioandamana na maflana ya magaidi wa kipalestina wanaoua watu na kimba alakbaru?
 

Naona kama unajiongelesha,elezea maana ya makanisa uchwara? Halafu kwani mmekua chadema mpaka mkatazwe kuandamana au lazima wachezaji waingie na bendera za pelestina,je wanaongamkono israel wakiingia na bendera zao mgepinga? Nadhani shrikikisho walitumia busara zaidi katika nchi ambayo ni NAM.
 
Alieleta mada humu ni mmisri pia? Au kwavile wamasai sio ndugu zetu katika imaan
Swali na hoja mfu, wapalestina pia wapo wengi tu sio waislam, hatutetei uislam, tunatetea utu, kwa hiyo masuala ya imani hayapo, na hata wamasai wapo waislam, kwanini hatuwatetei? Kwa sababu serikali tukufu imeona wapi ni bora kwao kuishi na wamekubali kwa ridhaa yao
 
Una uhakika na ulichokiandika?
 
Id yako inafanana na ya mfia dini mmoja humu, huwa naishukia kama mwewe kila nionapo ikisapoti udini
 
Id yako inafanana na ya mfia dini mmoja humu, huwa naishukia kama mwewe kila nionapo ikisapoti udini
Taja ni nani huyo ? mimi sina ID yeyote zaidi ya hii
 
Kwanza, sehemu ya watu wengi ndiyo ya kufikisha ujumbe muhimu/maalum maana unajuwa nalao umefika. Matokeo ni kitu kingine. Kuhusu kutojitokeza watu kuhusu swala la Congo, wewe unamlaumu nani? Je wewe ungejitokeza wa kwanza unadhani usingepata "support". Nafikiri itafika mahali tukubali ukilipa ubaya kwa ubaya hutatatua tatizo. Tukio la Hamas kwa Israel lazima lilaaniwe ana yale inayofanya Israel kwa Palestine lazima yalaaniwe. Lazima Israel ikubali kuwa haiwezi ikaendelea kuikalia Palestine alafu Wapalestine wakendelea kuipenda. Huu mgogoro hauwezi kutatuliwa kwa mabavu bila kuingizamo wasiyohusika...raia kwa ujumla, watoto, wanawake, na wanaume. Nimeweka wanaume makusudi, maana kila mtu anakimbia kutetea watoto na wanawake, kwani sisi wanaume siyo binadamu.
 
Oya acha ujinga , comment vitu vyenye maana.
Hahaha mimi na wewe. Umefanya nilipigwa ban id zangu zote six weeks. Na ID zangu za stress challenger kufungiwa mazima. Na kilichoniuma ID yangu ya maghayo ya kwanza JF tangu 2014 kuondolewa privilege features. Yani dogo nakuchukia kupita maelezo. Nitakunyima usingizi humu
 
Hahahhaha!! mods wametisha sana nimefurahi kusikia hivyo , ukijijiroga kuweka screenshot ya PM nikairepoti na kuwatg mods mpaka Maxence Melo nikaandika Bonge la gazeti kukuchongea ....
 

..kuna uzembe fulani ktk vita vya Congo.

..watu zaidi ya millioni 6 wamekufa lakini Waafrika tuko kimya.

..vita vya Wapalestina na Waukraine vinasemewa kwasababu Waarabu na Wazungu wanawatetea wenzao.

..Sisi Waafrika tunachukulia jambo la kawaida majirani zetu na ndugu zetu Wacongo millioni 6 kuuwawa ndio maana walioko mbali hawajali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…