pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Mashoga ni lazima wateteane so usishangae ukiwaona wanaisakama azam
Ni sababu shoga mwenzake shoga
Ni sababu shoga mwenzake shoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema post hiyo ni Wadhamini hivyo hausiani moja kwa moja na hoja nilizotoa , na hayo uliyoyasema nilifikiria kabla ya kupost ndio maana sikuambatanisha na hoja bali imekuwa kama Wadhamini wa kuchangamsha thread.Mtu kama huyu hajaingia hapo Kwa bahati mbaya,hii planned kabisa.......lingekuwa ni jambo la kuwachukiza hata camera zingemkwepa ila kwasababu ndiyo target yao inakuwa wengi waone ndiyo shida inapoanzia.....hapo huoni hata Stewart wakimfukuzia
Sijataka Palestine isapotiwe bali nimekemea chuki iliyoonyesha na baadhi ya watu katika uzi huu akiwemo Bams kwa kitendo cha Azam media kurusha kipande cha mashabiki kuonyesha bango la Palestine kitu ambacho sio sawa.Kwa hiyo mtoa hoja ulitaka palestina isapotiwa kwenye huo uzinduzi wa ligi mpya kupita azam tv, unajitoa ufahamu hujui kuwa kuna wanaoisapoti israel na wanataka kuonesha hivyo. Kuhusu kuonesha mambo na alama za ushoga kwenye mambo ya mpira, mpira una wenyewe ufahamu hilo we mtoa hoja na ili uelewe hilo kwa kina nenda kasome kitabu cha mazito duniani yenye utata kiitwacho HOW THEY STOLE A GAME kilichoandikwa na mwandishi wa habari za uchunguzi aitwaye David Yallop. Mpira una siasa nyingi na hutumika kupitisha ajenda nyingi duniani
wewe ndio wale mlioandamana na maflana ya magaidi wa kipalestina wanaoua watu na kimba alakbaru?Moja kwa moja.
Nimeona nije na mada hii baada ya kuona huu uzi leo Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa! nikakuta za comments mbalimbali.
Nije katika hoja, kwamba mnasema football haipaswi kuchanganywa na siasa na mambo mengine kinyume cha football pamoja na kutoa povu kwa Azam Tv, sasa mbona Ulaya kwa wenye soka hilo jambo lilifanyika waziwazi na hamkujitokeza kupinga?
Nije katika mifano mgogoro wa Urusi na Ukraine tulishuhudia vilabu vikubwa Ulaya, wachezaji nk, waliweka wazi misimamo yao na hakuwa na shida wala chuki kama za baadhi ya wabongo wapuuzi haswa wa humu JF?
Picha za kusapoti uzi.View attachment 2788115
View attachment 2788119
Football haipaswi kuchanganywa na mambo mengine ila ikiwa kwa Ukraine na Mshoga ni fresh, Palestine ndio hawatakiwi? Nataka mseme bado hamjasema. View attachment 2788124
Uzi bado Unaendelea..
Cc : Maghayo yoga and others
Mkuu urokole uchwara unao ibuka kwa kasi ndani ya nchi hii ni hatari sana usipo dhibitiwa, maana wafuasi wa haya makanisa ya kirokole waumini wake wamejaa chuki isiyo na sababu yeyote dhidi ya uislam.
Na wakristo wengi wa humu jf ni wafuasi wa haya makanisa uchwara.
Hiyo mada haijaletwa kwa lengo lingine zaidi ya chuki za kipumbavu dhidi ya waisilam.
Alieleta mada humu ni mmisri pia? Au kwavile wamasai sio ndugu zetu katika imaanBango wameweka WaMisri sio wabongo, Ingekuwa wabongo tungewauliza hilo swali.
Swali na hoja mfu, wapalestina pia wapo wengi tu sio waislam, hatutetei uislam, tunatetea utu, kwa hiyo masuala ya imani hayapo, na hata wamasai wapo waislam, kwanini hatuwatetei? Kwa sababu serikali tukufu imeona wapi ni bora kwao kuishi na wamekubali kwa ridhaa yaoAlieleta mada humu ni mmisri pia? Au kwavile wamasai sio ndugu zetu katika imaan
Una uhakika na ulichokiandika?Swali na hoja mfu, wapalestina pia wapo wengi tu sio waislam, hatutetei uislam, tunatetea utu, kwa hiyo masuala ya imani hayapo, na hata wamasai wapo waislam, kwanini hatuwatetei? Kwa sababu serikali tukufu imeona wapi ni bora kwao kuishi na wamekubali kwa ridhaa yao
Kwanza, sehemu ya watu wengi ndiyo ya kufikisha ujumbe muhimu/maalum maana unajuwa nalao umefika. Matokeo ni kitu kingine. Kuhusu kutojitokeza watu kuhusu swala la Congo, wewe unamlaumu nani? Je wewe ungejitokeza wa kwanza unadhani usingepata "support". Nafikiri itafika mahali tukubali ukilipa ubaya kwa ubaya hutatatua tatizo. Tukio la Hamas kwa Israel lazima lilaaniwe ana yale inayofanya Israel kwa Palestine lazima yalaaniwe. Lazima Israel ikubali kuwa haiwezi ikaendelea kuikalia Palestine alafu Wapalestine wakendelea kuipenda. Huu mgogoro hauwezi kutatuliwa kwa mabavu bila kuingizamo wasiyohusika...raia kwa ujumla, watoto, wanawake, na wanaume. Nimeweka wanaume makusudi, maana kila mtu anakimbia kutetea watoto na wanawake, kwani sisi wanaume siyo binadamu.Na hapo Kongo DRC kwa mwezi tu wanakufa maelf ya watu,ila huwezi sikia chochote hata Media hazisemi kwasababu wananufaika sana na Mali za hapo,ila unasikia mtazania wa Gezaulole anasema pray for Palestine AU Israel.....huyo huyo hujawahi msikia labda kuusemea mgogoro wa Sudan hapo tu karibu............Watu wanaokufa Africa ni wengi kuliko hata hao tuonajifanya kuwaonea huruma lakini bado fikra zetu zimetawaliwa sana
Hahaha mimi na wewe. Umefanya nilipigwa ban id zangu zote six weeks. Na ID zangu za stress challenger kufungiwa mazima. Na kilichoniuma ID yangu ya maghayo ya kwanza JF tangu 2014 kuondolewa privilege features. Yani dogo nakuchukia kupita maelezo. Nitakunyima usingizi humuOya acha ujinga , comment vitu vyenye maana.
Hahahhaha!! mods wametisha sana nimefurahi kusikia hivyo , ukijijiroga kuweka screenshot ya PM nikairepoti na kuwatg mods mpaka Maxence Melo nikaandika Bonge la gazeti kukuchongea ....Hahaha mimi na wewe. Umefanya nilipigwa ban id zangu zote six weeks. Na ID zangu za stress challenger kufungiwa mazima. Na kilichoniuma ID yangu ya maghayo ya kwanza JF tangu 2014 kuondolewa privilege features. Yani dogo nakuchukia kupita maelezo. Nitakunyima usingizi humu
UumbwaaaHahahhaha!! mods wametisha sana nimefurahi kusikia hivyo , ukijijiroga kuweka screenshot ya PM nikairepoti na kuwatg mods mpaka Maxence Melo nikaandika Bonge la gazeti kukuchongea ....
Kwa hiyo unadhani.., Israel angevamia DR Congo kisha akafanya hicho anachowafanyia Wapalestina,...Watu wangekaa kimya?!!
Hakuna taifa linalostahili kuonea taifa lingine,...hata DR Congo ingevamiwa na kufanyiwa kama yanayoendelea huko Palestina Watu wenye mioyo ya utu wangepaza sauti zao tu.
Lakini pia kumbuka case ya Congo na Palestina ni tofauti kabisa.