Unafiki wa Clouds Media: Wasitisha top 20 ili kucover msiba wa Agnes

Wamesitisha top 20 kucover msiba wa Agness.

Hawa jamaa ni wanafiki sana. Sana sana.
Usishangae Diamond akifa watacover pia msiba wake wakati sahz wanabania nyimbo zake

Ndio maana Lady Jay Dee aliwachana live
 
Well said
 
Asiyekuwa mnafiki humu na apite mbele
 
Hata ukiandika kizungu bado ni unafiki tuu!Ulitaka watangaze kwa kila walichofanya kumsaidia?
 
Why did they had to wait for the worst to happen!?
Huu ndio msisistizo? Kwanza gramma hujui! Andika kiswahili tu did na had hapo umechanganya mafuta na maji inauma halafu enzi hizo ni elimu ya kidato cha pili tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…