Ndo maana hatukomi kuwa masikiniWabongo kwa lawama hata ufanye nini watatokea tu wakupinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana hatukomi kuwa masikiniWabongo kwa lawama hata ufanye nini watatokea tu wakupinga.
Unafki wao yWamesitisha top 20 kucover msiba wa Agness.
Hawa jamaa ni wanafiki sana. Sana sana.
Data siku hizi akili yako imeingiliwa? Au umekopa hapa mbili ukaweka kwa moja na ile mbili ya kichwani inakuwa sita.
Kwani huyo Aggy alikuwa na umuhimu gani kwenye sanaa?Aiseee mkuu unamaanisha hiyo top twenty ni muhimu kuliko hilo tukio?
Hivi watu mmekuaje
Unazingua siku hizi hilo halina ubishiHahhahaa...
Sawa CAG wa ccm.
Usishangae Diamond akifa watacover pia msiba wake wakati sahz wanabania nyimbo zakeWamesitisha top 20 kucover msiba wa Agness.
Hawa jamaa ni wanafiki sana. Sana sana.
Well saidThe point im trying to make here is...
Why should clouds cover on tragedy... The girl was sick...acused of drugs..muler and addict. Where was clouds when all this was haunting her life.
What kind of support did they put on her.!??
Why did they had to wait for the worst to happen!?
It makes little and no sense at all supporting the mourning.. The deseased aint hearing seeing or listening.
Nimeandika kizungu kuweka msisitizo.
Clouds ACHENI UNAFIKI.
We kweli ni skrepaMi mwenyewe nimeshangaa, kwa kipi alichofanya huyu Dada kwenye sanaa? Au kuonesha makalio? Hakuna kubwa alilolifanya kwenye sanaa, hastahili hii heshima anayopewa
Duh aiseeUsishangae Diamond akifa watacover pia msiba wake wakati sahz wanabania nyimbo zake
Ndio maana Lady Jay Dee aliwachana live
Km wewe hukuona, wengine tuliona, tuliza makalio chiniKwani huyo Aggy alikuwa na umuhimu gani kwenye sanaa?
Hata ukiandika kizungu bado ni unafiki tuu!Ulitaka watangaze kwa kila walichofanya kumsaidia?The point im trying to make here is...
Why should clouds cover on tragedy... The girl was sick...acused of drugs..muler and addict. Where was clouds when all this was haunting her life.
What kind of support did they put on her.!??
Why did they had to wait for the worst to happen!?
It makes little and no sense at all supporting the mourning.. The deseased aint hearing seeing or listening.
Nimeandika kizungu kuweka msisitizo.
Clouds ACHENI UNAFIKI.
Hakuwa na la maana lolote la kukumbukwa zaidi ya kupromote umalaya, ukweli na usemweKm wewe hukuona, wengine tuliona, tuliza makalio chini
Nimefuta zaidi ya Mara mbili,Hakuwa na la maana lolote la kukumbukwa zaidi ya kupromote umalaya
Tatizo ni nini mkuu mbona mimi sijelewa unafiki hapo umekaaje?Wamesitisha top 20 kucover msiba wa Agness.
Hawa jamaa ni wanafiki sana. Sana sana.
Ungempa jibu kama jina lako lilivyo ingependeza.So wangeendelea na top 20 wasingekua wanafiki? Nimetumia nguvu nyingi kukuelewa lkn nimechemsha
Utawabeba mgongoni uwavushe mtoni, wakifika utasikia "limgongo lake linanuka"Wabongo kwa lawama hata ufanye nini watatokea tu wakupinga.
Huu ndo msisitizo?andika kiswahili tu kama gramma inakupiga chenga! Did na had wapi na wapi!!they had to wait for the worst to happen!?
Huu ndio msisistizo? Kwanza gramma hujui! Andika kiswahili tu did na had hapo umechanganya mafuta na maji inauma halafu enzi hizo ni elimu ya kidato cha pili tu!Why did they had to wait for the worst to happen!?