Unafiki wa Clouds Media: Wasitisha top 20 ili kucover msiba wa Agnes

Unafiki wa Clouds Media: Wasitisha top 20 ili kucover msiba wa Agnes

The point im trying to make here is...

Why should clouds cover on tragedy... The girl was sick...acused of drugs..muler and addict. Where was clouds when all this was haunting her life.

What kind of support did they put on her.!??

Why did they had to wait for the worst to happen!?

It makes little and no sense at all supporting the mourning.. The deseased aint hearing seeing or listening.

Nimeandika kizungu kuweka msisitizo.

Clouds ACHENI UNAFIKI.
 
kwa wafatiliaji wazuri wa clouds Ni kitu ya kawaida kabisa wao hufanya hivi kila litokeapo tukio kama hili
 
Hakuna jema kwa mwanadamu. Sasa hapa wana kosa gani.
Tanzania hii bwana !
 
The point im trying to make here is...

Why should clouds cover on tragedy... The girl was sick...acused of drugs..muler and addict. Where was clouds when all this was haunting her life.

What kind of support did they put on her.!??

Why did they had to wait for the worst to happen!?

It makes little and no sense at all supporting the mourning.. The deseased aint hearing seeing or listening.

Nimeandika kizungu kuweka msisitizo.

Clouds ACHENI UNAFIKI.
Mbona mnapenda wapa watu majukumu yasiyo wahusu.
Siyo lazima clouds kumhudumia mtu anayeumwa au aliyelazwa kwa maana ana ndugu na jamaa na kama alikuwa anafanya kazi ilikuwa jukumu lake kujiandaa kwa matatizo kama hayo.
Yule dada hawakuwa mwajiriwa wa clouds sasa unawalaumu vipi eti hawakuwepo wakati anaumwa siyo jukumu lao.
Leo wana cover tukio hilo kwasababu ni habari kibongo bongo alikuwa star ndiyo maana vyombo vyote vya habari vometangaza juu ya kifo chake ikiwemo bbc swahili.
Clouds ni chombo cha habari na burudani na msiba kama huu kwao ni habari ambayo wataicover tu.
Siyo mara ya kwanza kufanya hivyo na haiwezi kuwa mara ya mwisho.
Clouds siyo charity organisation kutoa msaada kwa mtu au kutotoa ni maamuzi muache kulalamika mambo ya kipuuzi mbona hamuwaulizi wasanii wenzake kama wakati hajafa walimchangia ela ya matibabu?
 
Alafu Maudhui ya Cloud, burudani, Sioni kosa ku cover, kifo cha aliekua mburudishaji.
Hapa naona mnafiki ni wewe.
Haswaa wale wana deal na entertainment na agness ni sehemu ya entertainment sasa wananzaje kuacha kucover mwanafamilia wao.
Inshort hata akifa mchekeshaji watafanya coverage tu.
 
Mi mwenyewe nimeshangaa, kwa kipi alichofanya huyu Dada kwenye sanaa? Au kuonesha makalio? Hakuna kubwa alilolifanya kwenye sanaa, hastahili hii heshima anayopewa
 
Back
Top Bottom